Mzee wa bei ya jioni
Kuwa na huruma na Wazee mjukuu 🤭Mzee wa bei ya jioni
Mimi nahuruma uliza utaambiwa 😅Kuwa na huruma na Wazee mjukuu 🤭
Mbona sijawahi kuona huruma yako kwangu?Mimi nahuruma uliza utaambiwa 😅
Hii ni vawulensi babu 🤣Mbona sijawahi kuona huruma yako kwangu?
Nikuletea babu 🤣🤣🤣Nina miaka 3 sasa hujaniletea Kiko niliyokuomba 🤪
Hapo mwisho ndiyo pazuri sasa 🤗Hii ni vawulensi babu 🤣
Na siwezi mtoto wa watu😊
Nikuletea babu 🤣🤣🤣
Sema hizo pigo ni za GnzHapo mwisho ndiyo pazuri sasa 🤗
Wacha nisubiri Kiko yangu tu 🤭
Hata Wazee tulikuwa genz mwaka 47 🤭Sema hizo pigo ni za Gnz
Endelea kutufunga kamba babu wa mwaka 47😅Hata Wazee tulikuwa genz mwaka 47 🤭
Nimefanya kuwakumbusha swagger za vijana wa mwaka 47 tu 😅
Nafurahi kukuona rasta wanguNipo 😀, sema mambo yamekuwa mengi muda mchache
Asante sana ☺️🙏Nafurahi kukuona rasta wangu
Mguu wa bia, unang'aa
Mguu wa bia,
Nikiselfika nitakuitaNiutoe wapi mrembo! Ki itel changu ndo kilikuwa kinani g'arisha vizuri dah.
Hivi weye kuselfika ndo ulidindaga eti??
Fanya jambo chap saivi seems wametingwaNikiselfika nitakuita