Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Safi... karibu dodoma ☺️☺️View attachment 2070882
Hello Dom
Safi... karibu dodoma ☺️☺️View attachment 2070882
Hello Dom
😁😁😁😁 Hujui tu utamu wake, hasa ukute fundi ndio kaandaa utumbo wenyewe hutorudi kwenye nyama
Asante ,ipo siku nitafika maeneo hayo .Karibu basi![]()
Lini sasa.. uje bwana ule masato ☺️☺️☺️☺️Asante ,ipo siku nitafika maeneo hayo .
Nitakuambia rafiki ila nitakuja tu siku moja .Lini sasa.. uje bwana ule masato![]()
Umefika salama?Abee shem darling![]()

Uje aseee.. nitakutembeza sana mwanzaa.. tutaenda hadi home chato ☺️☺️Nitakuambia rafiki ila nitakuja tu siku moja .
Hivi umebadilisha jina , nikawa najiuliza huyu ni nani ?
Mwanza napapenda sana hakika nitakuja huko .Uje aseee.. nitakutembeza sana mwanzaa.. tutaenda hadi home chato![]()
Uhamie kabisa, sie wasukuma wakarimu sana hatuna makuuMwanza napapenda sana hakika nitakuja huko .
Wasukuma mpo vizuri sana hakika nitahamia huko niachane na joto hili .Uhamie kabisa, sie wasukuma wakarimu sana hatuna makuu
Karibu sana, hakika hutorudi darWasukuma mpo vizuri sana hakika nitahamia huko niachane na joto hili .
Weh usiniambieKaribu sana, hakika hutorudi dar
Ohooo... Ndio ivyo jiandae kuhamia huku huku 😁😁Weh usiniambie
Haya ngoja nijipange kabisa .Ohooo... Ndio ivyo jiandae kuhamia huku huku![]()

Oke oke mji wenye miamba 😁😁Hapa ni....
View attachment 2070835
Karibu sana 😊😊Haya ngoja nijipange kabisa .
![]()