Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Ahsante. Nilikuwa siufahamu, nimeenda kuutafutaKuna mmoja huu unaitwa Amina ameimba prophéte Joel .
Ahsante. Nilikuwa siufahamu, nimeenda kuutafutaKuna mmoja huu unaitwa Amina ameimba prophéte Joel .
Kwani hata naziona sasa! Nilipiga sizionii🙃🙃😳
Sasa kuna swahili version yake unaitwa Muda ni huu ameimba merveile ajabu .Ahsante. Nilikuwa siufahau, nimeenda kuutafuta
Eti samahani kidogo hizi nyimbo haswa za dini au injili zipo kwaajili ya kutubu rudisha sisi ama kumburudisha Mungu, maana tunazijudge kwa vionjo vyetu?Kikiisha tu kipande cha huyu Mungu ni Baba nabadili,nawaweka wale watoto wa Tafes ARU "Ayeee simuachi Yesu"
Kiisha kipande hicho naweka" kidoe"
Nashushia john Lisu "upendo"
Namalizia "yesu ni wimbo wangu " DE Gloire.
Hapo tayari nakuwa nishasweat kwa step...napumzika.
Mungu ana nyimbo nyingi jamani.
Refer:Preach MOG
lol!Kwani hata naziona sasa! Nilipiga sizionii🙃🙃😳
Mie nipo tu hapa nasubiri, ukiniambia nilale nalala ☹️☹️☹️Kuwa mvumilivu... dakika sifuriiiii naangalia nitume ipi sionii ya kwa fundi Ina kimino sio poaa!!!
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣!! Dakika sifuriMie nipo tu hapa nasubiri, ukiniambia nilale nalala ☹️☹️☹️
Ni furaha yangu shem darling

Unaweza kuhukumiwa kwa wazo mkuu? Samahani lakiniRefer:
Isaya 14:13
Nawe ulisema moyoni mwako,....
Mungu anaangalia wazo.. Pumzi ya mwanadamu ni taa ya Bwana.. pia neno liasisitiza.... tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo....
Angalia sana unachowaza.. ndio. maana hata kuzini.. ni pale unapo tazama kwa tamaa na ukaanza ku process.. tayari ni action.. ulimwengu wa roho... wazo ni object..
😋😋😋😋😋 nasubiri.. sichoki😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣!! Dakika sifuri
Hio hio!Kuwa mvumilivu... dakika sifuriiiii naangalia nitume ipi sionii ya kwa fundi Ina kimino sio poaa!!!
Huwa hadanganyi endelea kusubirinasubiri.. sichoki
Lucifer alipigwa chini ila kuwaza tu kumchomoa Mungu kwenye enzi yake.. Wazo ni kama mbengu, huwezi fanya jambo lolote pasipo kuanzia wazo.. unacho ona mtu anafanya.. ni. matokeo ya wazo ambalo aliwaza then akali meng'enya kwa ubongo wake hadi likapata nguvu ya kutendekaUnaweza kuhukumiwa kwa wazo mkuu? Samahani lakini
Sasa hapa naweza lala unono... mtoto wa mwanamke mwenzako umenifanyia fair sasa.. 😍😍😍Leo nilienda kwa fundi nataka express so jmos naenda kuichukua ntawapa feedback . Mniombee asiniharibie pisi 3 zangu walahi! View attachment 2071286
Upo vizuriLeo nilienda kwa fundi nataka express so jmos naenda kuichukua ntawapa feedback . Mniombee asiniharibie pisi 3 zangu walahi! View attachment 2071286

Nimekaa kinoma toka saa moja jioni sahii ndio anatupia.. ama kweli nimeamini mvumilivu hula. mbivu 😂😂Huwa hadanganyi endelea kusubiri