Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,948
- 136,701
Wallah,ni kusafiiMjini kunapumua kwa kweli,, kusafi na kweupee ukilinganisha na hapo awali
Wallah,ni kusafiiMjini kunapumua kwa kweli,, kusafi na kweupee ukilinganisha na hapo awali
Good morning to you my brotherGood morning SelfikaView attachment 2071522
Njia ya wapi hii boss
Dar - IringaNjia ya wapi hii boss
Safari njema ndugu yangu.Dar - Iringa
Good morning to you, have a good dayMorning wanselfika!View attachment 2071575
Shukrani.Safari njema ndugu yangu.
Thanks rafiki! Nawe pia have a good and wonderful weekend!Good morning to you, have a good day
....Shukrani.
Mambo Vp???....
NakupendagaJana nilizurula sana, leo sipo ok,mafua kifua kikaliView attachment 2071581

Mbona barakoa yako imeziba mpaka uso?? Utapata kuhema kweli??Jana nilizurula sana, leo sipo ok,mafua kifua kikaliView attachment 2071581
Poa tu. Za siku nyingi???Mambo Vp???
Mbona barakoa yako imeziba mpaka uso?? Utapata kuhema kweli??
nahema kidogoPoa sana...Kheri ya mwaka mpya!!!Poa tu. Za siku nyingi???
Hahaah.nahema kidogo