Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,136
Daah kumbe weekend tayari! Maisha haya!!Thanks rafiki! Nawe pia have a good and wonderful weekend!
Daah kumbe weekend tayari! Maisha haya!!Thanks rafiki! Nawe pia have a good and wonderful weekend!
Na kwako pia. Hopeful family iko poaPoa sana...Kheri ya mwaka mpya!!!
Nimeona rangi ya mtumeThanks rafiki! Nawe pia have a good and wonderful weekend!


Wacha niitoeHahaah.
Unatakiwa upate enough air ili mambo Yazidi kuwa
Hahaha hapana usiitoe hapa.Wacha niitoe
Pole mno, kama uko na ujasiri tafuna tangawiziJana nilizurula sana, leo sipo ok,mafua kifua kikaliView attachment 2071581
Eee kuna watu waliianza jana...ulichanganyikiwa na ndugai haha!Daah kumbe weekend tayari! Maisha haya!!
Yes wako poa sana...naamini na yako pia wako goodNa kwako pia. Hopeful family iko poa
Nimetafuna,yaan daahPole mno, kama uko na ujasiri tafuna tangawizi
🤦🤦🤦🤦! Wapiii hapoo🤣 hahaa🤣🙃!Nimeona rangi ya mtume![]()
Yeah! We can't really complainYes wako poa sana...naamini na yako pia wako good
Nishaambukizwa tayar,Hahaha hapana usiitoe hapa.
Kuna COVID OMICRON utaambukizwa
Hongereni jamani. Maisha mazuri
Duh! PoleeeeeNishaambukizwa tayar,
Duh! Poleeeee

Kilimanjaro ndogo
Kwa hio tumekata wiki ya kwanza ya 2022.Eee kuna watu waliianza jana...ulichanganyikiwa na ndugai haha!
Kwenye ya leo! Wapiii hapoo
hahaa
!

Kabisa...siku hazigandi aisee!Kwa hio tumekata wiki ya kwanza ya 2022.