Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio hazigandishi tu ni waongo wachonganishi wanaume kama waanwake na wanawake wamechoka hawana kazi wamebaki kuwapigia wenzao majungu Tu
Hawajielewi😂😂😂
Ngoja nilale jana nilikesha
Unalalaje file lako likishushwa nikuwakilishe
 
Jf nzito aiseeee!! Haswaaa upande wa selfika [emoji119][emoji119][emoji119]
Kuna mtu kumbe aliahidiwa kupewa mil 3 afu kaambulia laki nakojoooooooooaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila wazee wa humu Mungu anawaona khaaaaa!!!

Yaani huu mpdf umenizidi kimo aiseeee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujaijuaa badoo, utaijuaa tyuuh.
 
Hata Kama mnakulana kiukweli Mimi sioni shida pia.

Unajua unapomfata mtu! Kwa mfano Mimi nikikufuata wewe pm Ni ta deal na yangu tu Huyo cantry hutamskia kwenye mdomo wangu Wala maandishi yangu.

Sasa nahisi shida zinaanzia Mimi na kutaka wewe then namkandia jamaa na sijui level ya undungu na mahusiono yenu.

Na kikubwa kabisa friji za wana jf hazigandishi hili ndilo nililoliona pakubwa

Kwanza hata si wa kwangu kuna mtu namuazima wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilichokiona humu wengi tumeathirika na kupenda chini na upande wa privacy zero
Na humu mwanaume ukimkataa anakuundia tume na chuki juu, kuna watu hawajui kukataliwa!!! Jamani haya mambo yanaenda na kufanana tabia

Me mcharuko siwezi kupata mtu aliyepoa lazima nimpate mtu km Mpwayungu ndio tunaenda sawa, wote tumevurugwa yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maelezo nimeyatoa sana, unajua sijui nisemaje labda wao kina depal na darlin waseme kama tunajuana.

Ni huyu dogo ndio naamini alikua akikuambia huu ujinga na uongo toka zamani kwa fake id

Sijui alifikiria nn.

Kwanza me demu wako kweli kwan?? Wewe kula raha makesure unavunja record ya miongozo [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom