Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,200
Kwahiyo Mjomba ni mwanamke mmoja ni mchawi,shidayake ni hasa tujue,?Huyo mwanamke mwenzenu aache uchawi banaa.. Mie humu sina site na mambo za watu.. Nashusha mkeka sawa sawa na informer wanavyonipansiongezi hata nukta.. 😅
Mjomba unatuchanganya nipe mm nikusaidie kuweka nitawaita mmoja mmoja na ulinz binafs utakuwepo file langu nitampa mtu anisomee nisikimbie nalo😀😀sasa mie naleta mkeka watu wanageuza madaa.. basi acha nibaki nayo.. maana watu wana shindwa tafsiri wanaanzisha mengine .. 😅😅😅 bye banaaaaa.. mikeka nitabaki nayo