Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani ni mambo ya ajabu kuna pdf nilitumiwa ni aibu watu wanatafutiwa kazi humu afu wakienda wanaunda convo wanaanza kusimulia jinsi walivyo wabaya sijui vifupi!!!

Yaani mpk unajiuliza hivi mwanaume mwenye akili timamu anaweza kufanya hivi?? Tena ukimuona umri umeenda kabisa na hilo nitalileta ngoja nitoke nilipo nirudi home nikawanywee nilishushe hapa leo wote wasutwe
Ebu weka hapa chap hilo file
 
Ukikaa kimya halitaisha Bora mchaw aletwe live yataisha had kufikia saambili kikao kitakuwa kineisha bila hivo haya maigizo hayaishi karibia wiki mada ni hizi uzuri wahusika tupo hapahapa
wachawi watatoka wenyewe 😅😅😅😅 umeona reaction zao .. Mie nifanye kwanza kama nimemaliza walio soma cuba washa elewa..
 
Ufupi ipo ; Jana nilijisikia vibaya humu.. wengine tulizoea hapa tuna kuja enjoy na kutoa stress.. ila kila ukiingia watu wanavurugana.. Mie kwa moyo mweupe nikasema hapa tusake wanachonganisha watu.. na kuzushiana mambo ha hovyo kama mlivyo ona .. Katika hayo hakuna hata moja nimetunga nachukua mzigo mzima mzima nashushaaa... Kama kuzushiwa nimezushiwa na watu ambao sijawa hata waona kama mama mchungaji au kadogo kangu ka Saint Anne .. kitu ambacho sio.. sasa huyu tahira anakuja na brabra na mawigi yake 😅😅😅😅.. achukue furushi lake la Penseli 4.. PDF itayokuja kali sana.. ngoja kwanza nionane na wana hapa ... alafu mie sitishwi sijawai kaa PM na kusengenya mtu..
Haya kaka, malizana huko uje umalizie kunyeshea mvua, maana joto limezidi kweli.
 
Mtumishi mwenzetu Lenie
Eti una njaa ya mahusiano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na soko hakuna[emoji1787][emoji1787]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Nyie
Yaani heri wangewasema micharuko wakorofi..
Ila eti hadi Lenie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ni kuni, basi kuzichochea unaweza.

[emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom