Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😁😁😁Acha uwoga wewe😕
Kama polisi wali lizwa 😁, halafu jobless Mimi.
👉 nimu amini muhindi was kariakoo😂🤣, never dada ji🤣😁
Nuzulati
FB_IMG_16924772297709836.jpg
 
Wee babu Afu mbona habari zako kukuhusu humu zipo nyingi sana ujue naona wameamua kutuchafua sisi tu😁😁😁😂😂😂!!

Sema Nakuheshimu sana babu yangu najua panapo wazee hakukosekani busara!!
Barikiwa sana babuu yetruuuu🤠🤠😁😁!!

cocastic shougaaangu unapitwaaa hukuu sitaki kusutwa mimi njoo ujionee majengeakaaa 🤣🤣🤭!
Sikuwahi kuzifumania habari za kunihusu, isipokuwa leo.

Ila Vijana wajifunze kuwa na siri.

Mbona Sisi wazee tumeweza kutunza, imagine Babu yenu nilikuwa nafanya kazi kwenye Serikali ya wakoloni miaka ile lakini habari ya Kudai Uhuru wa Nchi wazungu wamekuja kuijua tayari tumepandisha Bendera Mlima Kilimanjaro.

Vijana wa sasa si wangemwambia Mzungu siku hiyo hiyo kuwa Wenye Tanganyika wanadai Uhuru wao 🤪
 
Unajua nategemea kwenye list yangu uwe wa kwanza kabisa[emoji28]
Ashukuriwe Mungu sijui hawakuwepo hawa kipindi hicho[emoji23]
Zile msg tulikuwa tunaandikiana humu
Akiyanani nyie

Maneno yangekuwa mengi sana.


Kuna watu walinifata kuniuliza kama ni kweli
Nikawaambia mtu mwenyewe sijui hata anafananaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mara kipindi Fulani nikatuma tiketi ya ndege humu
Wakauliza kama nimekufuata Daslama [emoji23]
 
Back
Top Bottom