Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lakini inawezekanaje penseli awajue watu wote na back ground zao had kina shunnie ilo haliwezekani nae kunakitu nyuma yake kilimpa story zote za watu yeye friji lake hajigandishi kayamwaga

Hii story ipo upande mmoja ndiomana inachanganya ilitakiwa huyu kipenseli kilichokosa ufutio kije kikamilishe chat zilizomiss na jina la mwenzie waliyekuwa wanachat wote!! Hapo tutampata mchawi vinginevyo ni vikundi vya watu vimeamua kuharibu kwa Penseli afu wamevutia kwao
 
Ashukuriwe Mungu sijui hawakuwepo hawa kipindi hicho[emoji23]
Zile msg tulikuwa tunaandikiana humu
Akiyanani nyie

Maneno yangekuwa mengi sana.

Kuna watu walinifata kuniuliza kama ni kweli
Nikawaambia mtu mwenyewe sijui hata anafananaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mara kipindi Fulani nikatuma tiketi ya ndege humu
Wakauliza kama nimekufuata Daslama [emoji23]
Daaaah aisee nimi naacha utani wangu rasmi heee
 
Hii story ipo upande mmoja ndiomana inachanganya ilitakiwa huyu kipenseli kilichokosa ufutio kije kikamilishe chat zilizomiss na jina la mwenzie waliyekuwa wanachat wote!! Hapo tutampata mchawi vinginevyo ni vikundi vya watu vimeamua kuharibu kwa Penseli afu wamevutia kwao
Ilo ndo la muhimu lakini Kwa kuwa yeye ndo kiini na ndoametaja watu wote hawez kuja hapa
 
Superstar wa jf nzima😂
Supastaa my Asssss 😂😂 🤠🤠🤠🤠🤠🤠😊😊😊!

Sasa mtu mambo ya miaka 47 huko bado naandamwa mpaka leo mimi mbona wenzangu hawaandamwi na walikua wanaweka mahusiano yao wazi pia who Am I????
Nina nini cha ziada ??? 😁😁🤠🤠🤠🤣🤣!!
Wanipumzishe kwakweli!
Hili tena la Grah mbona kuna jingine nilisikia kumuhusu Huyohuyo Grahams?
Na wengine kibao humu ??? humu kwanini wanitaje Mie tyuuuu????

Nyiee 🕺🕺🕺🕺🕺🕺🕺

Jf sihamiiiiii 🕺🕺🕺🕺!

Kusanyeni mafile yenu vizuri muwe na data kamilii na sio za kupika!!
 
Babu yenu tena nimefanya nini?

Kuweni na huruma na Wazee jamani 🙌
 
Screenshot_20230821-183311.png
 
Supastaa my Asssss [emoji23][emoji23] [emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji4][emoji4][emoji4]!

Sasa mtu mambo ya miaka 47 huko bado naandamwa mpaka leo mimi mbona wenzangu hawaandamwi na walikua wanaweka mahusiano yao wazi pia who Am I????
Nina nini cha ziada ??? [emoji16][emoji16][emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1787][emoji1787]!!
Wanipumzishe kwakweli!
Hili tena la Grah mbona kuna jingine nilisikia kumuhusu Huyohuyo Grahams?
Na wengine kibao humu ??? humu kwanini wanitaje Mie tyuuuu????

Nyiee [emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739]

Jf sihamiiiiii [emoji1739][emoji1739][emoji1739][emoji1739]!

Kusanyeni mafile yenu vizuri muwe na data kamilii na sio za kupika!!
Mie nipo nasoma tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi unapita kwenye kipindi cha kashkash
 
Back
Top Bottom