Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,020
- 28,069
Zilifika mapema sana.Nachojua mimi na dada tunadhani haujui
Sasa kama vitu vilifika, lazima tushangae [emoji1787]
Hata hivyo msiwaze sana ni issue za kawaida tu hizi, haziwezi kuongeza au kupunguza chochote mbele za watu wenu wa karibu.