YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,376
Hiki kijiwe kilikuaga poa sana sijui ni mabalaa gani yameingia.
Bora umekuja mdogoangu mzuri emu selfika nikuone
Hiki kijiwe kilikuaga poa sana sijui ni mabalaa gani yameingia.
Nashangaa tu umbea mubashara kwenye PDF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona ulikua buzzy kusoma PDFs.
Woiiiiiih
aisee,Na vikundi vivunjwe, wajiunge vyenye faida km kausha damu, chupi mkononi ili tuwaze marejesho
Na wanaume waache kuwa nyuma ya wanawake hawa ndio tatizo kubwa humu nimeliona!! Yani mtoto wa kiume anashinda muda wote piem za dada zake kugombanisha
Na watu wazima hovyo mjifunze kukataliwa, wengine wanatishaaa jamaani khaaaaaa!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mungu anisamehe ila hapana ukweli tuseme mtu yupo toka enzi za TANU lkn naye hataki anajifanya rika la kina mshamba khaaaaaa!!!
penseli kaleta vuruguHiki kijiwe kilikuaga poa sana sijui ni mabalaa gani yameingia.
HahahahahaKandamiza baba kutajwa kwenye list km ile sio mchezo!!! Una kitu special [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Serious jf inataka kufanywa kua Kama Badoo. Ukiona I'd yakike akili inaruka na kuwaza mtongozo.
Na wakike akiona I'd ya kiume akili inaruka inahamia kwenye udangaji.
Full kuwindana
Aisee usi ni tafutie lawama😁😂, Sina hata Dem wa kusingiziwa 😁😂.😅😅😅😅 hapo Intelligent businessman yupo na nchumba yake kijijini ... na huyu ndio shemeji yaje View attachment 2724545
Hili ngoja niliache kwanza. Nitakaa chini nione nn nafanya
Mamii wengine tuliacha muda kuselfika tukaukimbia uzi tunaogopa maneno maneno. Wakati Mshana anaanzisha huu uzi ulikua poa sana sijui ni nini kimeingilia haki siku hizi napitaga kwa kunyatia nyatia tu.Bora umekuja mdogoangu mzuri emu selfika nikuone
penseli kaleta vurugu
Rika la Tanu Tena?Na vikundi vivunjwe, wajiunge vyenye faida km kausha damu, chupi mkononi ili tuwaze marejesho
Na wanaume waache kuwa nyuma ya wanawake hawa ndio tatizo kubwa humu nimeliona!! Yani mtoto wa kiume anashinda muda wote piem za dada zake kugombanisha
Na watu wazima hovyo mjifunze kukataliwa, wengine wanatishaaa jamaani khaaaaaa!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mungu anisamehe ila hapana ukweli tuseme mtu yupo toka enzi za TANU lkn naye hataki anajifanya rika la kina mshamba khaaaaaa!!!
Hahahahaha
LODGE KIMARA BEI GANI WAKUU
KUNA LISHANGAZI HAPA LINANISUMBUA
Sawa sawaHuyu ndio The G.O.A.T anayefatia kula kimasihara na nitahakikisha mpk apewe blue tick dadeq [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
shida nini mtu wangu, njoo pm tuyamalizeNa wewe swahiba wake, kwa hili mshamba huchomoki mtu wangu
Mamii wengine tuliacha muda kuselfika tukaukimbia uzi tunaogopa maneno maneno. Wakati Mshana anaanzisha huu uzi ulikua poa sana sijui ni nini kimeingilia haki siku hizi napitaga kwa kunyatia nyatia tu.
Ila mkuu tuna weza fungua kesi😁 dhidi yao, kwa kuku accuse kwa Jambo lisilo wazi😂.penseli kaleta vurugu
Rika la Tanu Tena?
Sisi si ndio mnasema tunajua kulea.
😂🤣😂🤣Ss hivi wameacha maneno selfika mwaya kwanza wamelala wamechoka hoi