Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Mwanamke unakuwaje na sugu kwenye magoti waambie waje niwape wix hiyo unakuwa na rangi moja unayotaka 😬
Mwanamke unakuwaje na sugu kwenye magoti waambie waje niwape wix hiyo unakuwa na rangi moja unayotaka 😬
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza hata si wa kwangu kuna mtu namuazima wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilichokiona humu wengi tumeathirika na kupenda chini na upande wa privacy zero
Na humu mwanaume ukimkataa anakuundia tume na chuki juu, kuna watu hawajui kukataliwa!!! Jamani haya mambo yanaenda na kufanana tabia
Me mcharuko siwezi kupata mtu aliyepoa lazima nimpate mtu km Mpwayungu ndio tunaenda sawa, wote tumevurugwa yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunajua hautalala tena kama Jana 🤣Mbna nikiingia humu mnakua na woga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi kwemaaa?
Wee mgenii na selfika huijuii, tuulize wakongwee tukupe in4, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Manjegeka ya upande m1 ambao walishapanga nini kiletwee humu, hata sina mshipaa nao.
Selfika woyeeeeeee
😅😅😅😅.. haka je 🤪🤪🤪 nako kanataka wix auMwanamke unakuwaje na sugu kwenye magoti waambie waje niwape wix hiyo unakuwa na rangi moja unayotaka 😬
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daahKwanza me demu wako kweli kwan?? Wewe kula raha makesure unavunja record ya miongozo [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Oyaaa relax mkuu
Kwanza Mimi mademu wote wa jf nawaona manjemba tu.
Kuwa na amani
Unapigwa changa la machooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado hujaijua Selfika vizurii weyeee.
Ewa mpaka baby akikushika unateleza kama nyoka mwili lainiii😬😅😅😅😅.. haka je 🤪🤪🤪 nako kanataka wix auView attachment 2724542
Mwanamke unakuwaje na sugu kwenye magoti waambie waje niwape wix hiyo unakuwa na rangi moja unayotaka [emoji51]
Kitu gani 😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umenikumbusha kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah
Serious jf inataka kufanywa kua Kama Badoo. Ukiona I'd yakike akili inaruka na kuwaza mtongozo.Kwanza hata si wa kwangu kuna mtu namuazima wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilichokiona humu wengi tumeathirika na kupenda chini na upande wa privacy zero
Na humu mwanaume ukimkataa anakuundia tume na chuki juu, kuna watu hawajui kukataliwa!!! Jamani haya mambo yanaenda na kufanana tabia
Me mcharuko siwezi kupata mtu aliyepoa lazima nimpate mtu km Mpwayungu ndio tunaenda sawa, wote tumevurugwa yani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisaaa,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekata rufaa
😅😅😅😅 hapo Intelligent businessman yupo na nchumba yake kijijini ... na huyu ndio shemeji yajeEwa mpaka baby akikushika unateleza kama nyoka mwili lainiii😬
Napenda kuwapa Usia.
Acheni UNAFIKIIIIII
siku mkiacha UNAFIKI, amani ita tamalaki humu ndanii.
Yangu ni hayo tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili ngoja niliache kwanza. Nitakaa chini nione nn nafanyaKandamiza baba kutajwa kwenye list km ile sio mchezo!!! Una kitu special [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kitu gani [emoji16][emoji16]