Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie nashangaaa.. wenzao wanapo haribiwa wanajisikiaje.. umeona kama huyo binti sijui Carleen walicho mzushia ? Mie humu nimeshushiwa nimelala na Mama mchungajj na saint anne na wengine wengi hapa pamekuwa pa mipasho daily ili kuondoa hiyo tusake mwizi.. nashusha mikeka mchawi mmoja mwehu anakujoa speed kunitisha 😅😅😅😅.. au basi niache nilale zangu
Ukikaa kimya halitaisha Bora mchaw aletwe live yataisha had kufikia saambili kikao kitakuwa kineisha bila hivo haya maigizo hayaishi karibia wiki mada ni hizi uzuri wahusika tupo hapahapa
 
Mie nashangaaa.. wenzao wanapo haribiwa wanajisikiaje.. umeona kama huyo binti sijui Carleen walicho mzushia ? Mie humu nimeshushiwa nimelala na Mama mchungajj na saint anne na wengine wengi hapa pamekuwa pa mipasho daily ili kuondoa hiyo tusake mwizi.. nashusha mikeka mchawi mmoja mwehu anakujoa speed kunitisha 😅😅😅😅.. au basi niache nilale zangu
sija elewa pale ulipo sema, anaye mfuga kunguru ni Nani🤔😁
 
Mtumishi mwenzetu Lenie
Eti una njaa ya mahusiano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na soko hakuna[emoji1787][emoji1787]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie
Yaani heri wangewasema micharuko wakorofi..
Ila eti hadi Lenie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We gunners are unstoppable 🤒
IMG_20230810_223327_504.jpg
 
Mtumishi mwenzetu Lenie
Eti una njaa ya mahusiano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na soko hakuna[emoji1787][emoji1787]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie
Yaani heri wangewasema micharuko wakorofi..
Ila eti hadi Lenie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmh mambo mazito sana
 
Kuna watu wapo serious sana kufatilia watu humu[emoji28]

Yaani ni mambo ya ajabu kuna pdf nilitumiwa ni aibu watu wanatafutiwa kazi humu afu wakienda wanaunda convo wanaanza kusimulia jinsi walivyo wabaya sijui vifupi!!!

Yaani mpk unajiuliza hivi mwanaume mwenye akili timamu anaweza kufanya hivi?? Tena ukimuona umri umeenda kabisa na hilo nitalileta ngoja nitoke nilipo nirudi home nikawanywee nilishushe hapa leo wote wasutwe
 
Malizia kaka
Nyeshea mvua tuone panapovuja tafadhali
Ufupi ipo ; Jana nilijisikia vibaya humu.. wengine tulizoea hapa tuna kuja enjoy na kutoa stress.. ila kila ukiingia watu wanavurugana.. Mie kwa moyo mweupe nikasema hapa tusake wanachonganisha watu.. na kuzushiana mambo ha hovyo kama mlivyo ona .. Katika hayo hakuna hata moja nimetunga nachukua mzigo mzima mzima nashushaaa... Kama kuzushiwa nimezushiwa na watu ambao sijawa hata waona kama mama mchungaji au kadogo kangu ka Saint Anne .. kitu ambacho sio.. sasa huyu tahira anakuja na brabra na mawigi yake 😅😅😅😅.. achukue furushi lake la Penseli 4.. PDF itayokuja kali sana.. ngoja kwanza nionane na wana hapa ... alafu mie sitishwi sijawai kaa PM na kusengenya mtu..
 
Back
Top Bottom