Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ah hapo ndo safari ya Dom mwezi inakujaYes,zishafika mpendwa wangu!
Namshukuru Mungu Niko mzima
All the best sweeetie
Ah hapo ndo safari ya Dom mwezi inakujaYes,zishafika mpendwa wangu!
Namshukuru Mungu Niko mzima
Bado uko mjinii shooo??? [emoji23][emoji23][emoji23]Kwann jmn shooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko mjini now[emoji41][emoji41]
Hebu tuambie nawee, unaogopaa nn sasa? Au kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shoga tukimeet siku face to face [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan kablaa ya yotee, muambie hiyo pensi aniachiee,cocastic njoo umuone mtoto mzuri [emoji16]View attachment 2680957
Unaenda zako mahengee, nimekumbuka mlima ndororo,View attachment 2681034
View attachment 2681035
View attachment 2681036
Mtembea bure si sawa na mkaa bure .....
Hello Friday [emoji1635]
Shemejiii anafaidiii kwa kweliii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji170]View attachment 2681297
Poleee sanaa Mr.8th July, I'll never forget this date. I just lost my mom today, may she rest in eternal peace [emoji2731][emoji2731][emoji24][emoji24]
Asante!!☺️☺️
A20Boss ulikuwa unatumia samsung gani
Qhahqhq kumbe hakuna wakumcheka mwezieMm mwenyew napenda chai na Wala sinannyumba Wala kiwanja 😀😀
Qhahahaqh mbona unanisema kwa mafumbMimi sijajenga na Wala sijawahi msema mtu na starehe Nina ndugu wanakunywa nikipenda nawasindikiza kabisa ila sioni km huo msemo unachukiza😂😂akiambiwa mtu aliyejenga
Tuko vyediii, vipii wee.Mambo sweetie
Hamjambo na G ?
mbona idogo, au bajeti
Usiku sili sans ata ivyo nimekula tu basmbona idogo, au bajeti
Msosi bila nyama wafaa nini
Ahaah ni samaki bhnaMsosi bila nyama wafaa nini
Ahahah samii uku dar tunakata vidogo vidogo ili visukume sikumbona mdogo hivyo😂
au ni dagaa pori