Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Ahhh kumb poaHapana nakata na nail cutter..
Ahhh kumb poaHapana nakata na nail cutter..
Amenituma nimpokeleeDepal njoo uchukue zawadi kutoka Kaskazini, Magharibi, Mashariki na Unguja!View attachment 2682164
Hivi mkikatia kucha huko chini kabisa hamuumii?Nimekulipa..
View attachment 2682339
HaahaaUngekuwa jirani ningekulamba
Hivi mkikatia kucha huko chini kabisa hamuumii?
Ntamzimishaukienda arusha mtafute depal akuvutishe kidogo
Mimi sijajenga na Wala sijawahi msema mtu na starehe Nina ndugu wanakunywa nikipenda nawasindikiza kabisa ila sioni km huo msemo unachukiza😂😂akiambiwa mtu aliyejengaWew umejenga nyumba ngap
arusha imeshakukaa soon utaanza kula bange😂Ntamzimisha
😀😀
Mwishowe niamkie Kisongo
Mm mwenyew napenda chai na Wala sinannyumba Wala kiwanja 😀😀Wew umejenga nyumba ngap
😂😂 kaka angu ni TPDF memberarusha imeshakukaa soon utaanza kula bange😂
Sema kweli😂😂 kaka angu ni TPDF member
Nilianza kuijua hiyo bange kwake kabla hata siijui Arusha.
Situmii weed.
Ohhhhh!!😟🥺8th July, I'll never forget this date. I just lost my mom today, may she rest in eternal peace [emoji2731][emoji2731][emoji24][emoji24]
Boss ulikuwa unatumia samsung ganiSamsung picha ziro nimeamua niwe na.simu mbili ya picha na.ya maongezi mshamba_hachekwi nikuazime moja?
Dada sorry, kesho ratiba imeingliana, tufanye next SundayOle wako unikimbie[emoji23]
Mbna nipoo jomonee,Ulifichwa wapi nimepita hapa naked kabisaa
Wee dear nae hebu tuhadithie huo ubuyuuu, khaaahKama wanamind vitu vidogo , hivyo vya picha si ndo kabisa .
Can't write it here na sipendi maneno since inanihusu sana .
Kumekuchaaaa sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji444][emoji444][emoji444]Aliumba ardhi akaumba mbingu
Akaumba mbaramwezi kaumba nafsi, Kaumba wivu
Akayaumba na mapenzi na kukuacha sidhan
Siwezi jaribu maana penzi kwa mzani
Umenizidi mahabibu shika vyema usukani
Twende taratibu
Baada Ya tuta baby Koleza gia
Yani tam tam kama pipi nakuita sweet
Ah lote lote fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi kama lote
Vicheche nisha delete sitaki cheat
Wa toke toke kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh[emoji444][emoji444]
Hayaa nawee nipee huo ubuyuu wakoo, mie ndo final destination za udaku na ubuyuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niandikie hata pm please [emoji3064]
Hapa yaweza leta maneno
Nizamie PM iko wazi[emoji847]
Mie humu nishawahi chukiwa na mtu,nikajengwwa chuki kama chui utadhani nimeua,kumbe aliambiwa maneno ya uongo,akayabeba na kuhukumu bila hata kuniuliza.
Nashangaa urafiki umekata juu kwa juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji91]
Nipee ubuyu huo nimumunyeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikajikuta nina uadui na mtu bila mimi mwenyewe kujua[emoji38]
Jf noma sana
Aliyenigombanisha na mtu aisee alaaniwe.
Sema naye aliyeconclude kunihukumu ni kiazi sana..huwezi mkasirikia mtu pasi hata na kumuuliza mhusika.
Unakuja kugundua ukweli ni too late na tayari mtu ashakutoa kwenye undugu.
Wee dear nae hebu tuhadithie huo ubuyuuu, khaaah