Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🎵🎵🎵Aliumba ardhi akaumba mbingu
Akaumba mbaramwezi kaumba nafsi, Kaumba wivu
Akayaumba na mapenzi na kukuacha sidhan
Siwezi jaribu maana penzi kwa mzani
Umenizidi mahabibu shika vyema usukani
Twende taratibu
Baada Ya tuta baby Koleza gia

Yani tam tam kama pipi nakuita sweet
Ah lote lote fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi kama lote
Vicheche nisha delete sitaki cheat
Wa toke toke kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh🎵🎵
 
Kama wanamind vitu vidogo , hivyo vya picha si ndo kabisa .

Can't write it here na sipendi maneno since inanihusu sana .
Niandikie hata pm please [emoji3064]
Hapa yaweza leta maneno

Nizamie PM iko wazi[emoji847]

Mie humu nishawahi chukiwa na mtu,nikajengwwa chuki kama chui utadhani nimeua,kumbe aliambiwa maneno ya uongo,akayabeba na kuhukumu bila hata kuniuliza.
Nashangaa urafiki umekata juu kwa juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji91]
 
Polish_20230706_175759500.png


Green juice for weight loss, a healthy fat burning which help detoxify the body by removing all the toxins from the body, ni nzuri pia kutoa kitambi kama changu kinaanza toka 😊
 
Niandikie hata pm please 🥺
Hapa yaweza leta maneno

Nizamie PM iko wazi🤗

Mie humu nishawahi chukiwa na mtu,nikajengwwa chuki kama chui utadhani nimejua,kumbe aliambiwa maneno ya uongo,akayabeba na kuhukumu bila hata kuniuliza.
Nashangaa urafiki umekata juu kwa juu😂😂😂😂😂😆🔥
Dah 😂😂😂
 
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikajikuta nina uadui na mtu bila mimi mwenyewe kujua[emoji38]
Jf noma sana

Aliyenigombanisha na mtu aisee alaaniwe.
Sema naye aliyeconclude kunihukumu ni kiazi sana..huwezi mkasirikia mtu pasi hata na kumuuliza mhusika.

Unakuja kugundua ukweli ni too late na tayari mtu ashakutoa kwenye undugu.
 
Nikajikuta nina uadui na mtu bila mimi mwenyewe kujua[emoji38]
Jf noma sana

Aliyenigombanisha na mtu aisee alaaniwe.
Sema naye aliyeconclude kunihukumu ni kiazi sana..huwezi mkasirikia mtu pasi hata na kumuuliza mhusika.

Unakuja kugundua ukweli ni too late na tayari mtu ashakutoa kwenye undugu.
Ndivyo ilivyo kwenye watu wengi na kila mtu ana akili, mtazamo na mahangaiko yake. Humu tabia za hovyo zipo nyingi sana.
 
Back
Top Bottom