Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dr,

Ni gahawa ama chai ya rangi?

Kama ni black tea, basi sipo hapa kuharibu utaratibu wa mlo wako..ila please punguza utumiaji wa chakula na chai ya rangi.

Chai hupooza umeng'enyaji haswa uvunaji wa madini chuma. Ambayo kikawaida ndiyo maalum kwa ajili ya kuongeza damu mwilini.

NB: Ni ushauri tu.
Thanks for your concern & advice Dr!!!😊
Ilikua ni Coca-Cola....
 
[emoji170]
IMG_20230617_090111_654.jpg
 
Hahaha!. Sikuiwaza.

Nakuona bado upo vema sana kwenye mapishi. Umeacha tu kushusha kwenye jukwaa la mapishi.

Enjoy.
It's been a while since I was in the kitchen!🥴 ....pilau nimekula kwa hisani!😊
20230707_205152.jpg


Nimekua nakula barabarani alafu kazi nyingi hata muda wakupost sipati!!😵😵 Ila ndio narudi taratibu....
 
Thank you ankoo akeee nawe pia happy 7/7 deiiii🤩🤩


Namie nitafutie kama hiko ankoo ni cheupee kisafi ajee!

Barikiwa sanaaa ankoo akeee na uwe na wakati mwema ankaliii!!
😍

Sema Ukinionea Bantu Lady Lovelovie Kapachino National Anthem waambie nimewamiso hadi naumwaaa😘😘!!
Baada ya frester kumuachia
manyoya chino pale oilcom.

Sasa Yuko itobo bukene huku walau akiji fariji fariji na wahabeshi wa uku kupunguza punguza japo machungu.
 
Back
Top Bottom