raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,816
- 36,775
Woooooooow soooo cuuuute 😗😘🔥🔥🔥🔥Haya we na raraa reree chukueni throwback hiyo...View attachment 2680524
Mzee wa kupambania umelala ohoooo njoo uone 😁
Woooooooow soooo cuuuute 😗😘🔥🔥🔥🔥Haya we na raraa reree chukueni throwback hiyo...View attachment 2680524
Mwee shoga nihadithie😆Humu sio poa
Yaani hapa tunacheka wote kumbe sio ,
Watu wana yao huko huko nje
Duh pole sana
Mie msiri kidogi 😂😂 , yaani sio maana sana .
Ewaaaah! Pendeza sana mamy😍😍Haya we na raraa reree chukueni throwback hiyo...View attachment 2680524
MamboKwann jmn shooo🤣🤣🤣
Niko mjini now😎😎
Ah kuna jina la mtu hapo sitaki kumtaja , ningekuhadithia hata chimbo .Mwee shoga nihadithie😆
Mtoto yupo kamili kila idara familia bora akili sijui nini niniiii........- Mwana Fa 😄Ewaaaah! Pendeza sana mamy😍😍
raraa reree kingine tena nimekidere kifua hiko kiko so yummy 😋
Hadithia tu bila kutaja jina mtu yeyote kama nilivyofanya Mimi.Ah kuna jina la mtu hapo sitaki kumtaja , ningekuhadithia hata chimbo .
Ulijuaje mzeiyaMtoto yupo kamili kila idara familia bora akili sijui nini niniiii........- Mwana Fa 😄
Yaa akili zisizolala 😄 acha balaaa 🔥🔥🔥🔥Ulijuaje mzeiya
Mwana Fa anakwambia-Familia bora akili zisizolala
Jay moe anakwambia- mtoto wa geti kali baba mama tajiri
🤣🤣🤣
Nafsi haifikiHadithia tu bila kutaja jina mtu yeyote kama nilivyofanya Mimi.
Endeleeni kudanganyika tu!!😆😆Ulijuaje mzeiya
Mwana Fa anakwambia-mtoto yuko kamili kila idara familia bora akili zisizolala
Jay moe anakwambia- mtoto wa geti kali baba mama tajiri
🤣🤣🤣
LoL shoga unaniachaje napitwa kweli[emoji3064]Nafsi haifiki
Kwanza kusema yenyewe imetokea tu jana tu sikuwa sawa [emoji23][emoji23]
Shoga tukimeet siku face to face 😂😂LoL shoga unaniachaje napitwa kweli[emoji3064]
Nifanyie wepesi[emoji23]
Ankol wewe ni zaidi, utundu utotoni ulikuwa ukijulikana mpaka mtaa wa 7 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unarudi vumbi mpaka kwenye kope...
😅😅😅😅😅Ankol wewe ni zaidi, utundu utotoni ulikuwa ukijulikana mpaka mtaa wa 7 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unarudi vumbi mpaka kwenye kope...
Thank you ankoo akeee nawe pia happy 7/7 deiiii🤩🤩Auntiee mzuri and mummy happy 7/7
Nipo na kipuppy changu hapa 😝😃😀
Kinawasalimu.
View attachment 2680859