Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji444][emoji444][emoji444]Aliumba ardhi akaumba mbingu
Akaumba mbaramwezi kaumba nafsi, Kaumba wivu
Akayaumba na mapenzi na kukuacha sidhan
Siwezi jaribu maana penzi kwa mzani
Umenizidi mahabibu shika vyema usukani
Twende taratibu
Baada Ya tuta baby Koleza gia

Yani tam tam kama pipi nakuita sweet
Ah lote lote fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi kama lote
Vicheche nisha delete sitaki cheat
Wa toke toke kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh[emoji444][emoji444]
Kaimba Nani hii?? Mbona mashairi makali saana
 
Ndivyo ilivyo kwenye watu wengi na kila mtu ana akili, mtazamo na mahangaiko yake. Humu tabia za hovyo zipo nyingi sana.
Dah
Mtu akaamua tu kunichagua kwa mtu[emoji23]
Nyie watu wabaya,,hadi mimi?[emoji38][emoji38][emoji38]

Tena picha hizohizi ndo ziliniponza...
Huwa Naomba omba watu picha hapa jukwaani,,mtu akatambaa humohumo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]najikuta Nina kesi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].


Tinsley atake easy tu
 
Niandikie hata pm please [emoji3064]
Hapa yaweza leta maneno

Nizamie PM iko wazi[emoji847]

Mie humu nishawahi chukiwa na mtu,nikajengwwa chuki kama chui utadhani nimeua,kumbe aliambiwa maneno ya uongo,akayabeba na kuhukumu bila hata kuniuliza.
Nashangaa urafiki umekata juu kwa juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji91]
Humu ata mtu anichukie vip kwasasa napotezea tu mkuu sina mtu nae juana nae
 
Nimekaa hapa nje,, naomba unipitishie soseji 1 na chips kidogo 😍😋😋View attachment 2679407
Njoo ule matunda kwanza!!!!!
20230706_190828.jpg
 
Back
Top Bottom