Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Analala vizuriAsante,
Tuselfike wote basi,
Unajua mgeni hawez kula pekee uake.
Nishaselfika mie zipo nyingi humu .
Analala vizuriAsante,
Tuselfike wote basi,
Unajua mgeni hawez kula pekee uake.
Kula*Analala vizuri
Nishaselfika mie zipo nyingi humu .
Okay na hiyo iphone uliyonunua ni gani
Kula*
Sasa mimi nitazionaje maana mi ni mgeni.
Au ngoja nizoee mazingira nitaselfika tuu.
Asante, kwa kunikaribisha rafiki mkarimu.Huwezi ziona zipo mbali na ugeni huo ndo kabisa .
Watu watakuzoea bila kukujua hata kidole .
Just go with the flow .
Mimi watu hawatonizoea, na sijui ni kwanin. Zaidi zaidi watanikwepa.Huwezi ziona zipo mbali na ugeni huo ndo kabisa .
Watu watakuzoea bila kukujua hata kidole .
Just go with the flow .
mgeni amelewa huyo huoni anatype makorokocho😂Its okay ..
mshamba_hachekwi mpokee mgeni huyu .
Hofu yako aiseeMimi watu hawatonizoea, na sijui ni kwanin. Zaidi zaidi watanikwepa.
Mpokee hivyo hivyomgeni amelewa huyo huoni anatype makorokocho😂
Nambieee dearSalama kipenzi
imeshakua kama kawaida kulala saa 10, saa 9.....Leo mkesha tena ??
Cazeee emu sema kweliiii.kwenye pizza hata mjeda hakuna kuogopa
Tatzo nashindwa kuendana na watu wengine.Hofu yako aisee
Anyway just be you .
Ushakuja humu kabla ??
Una hela?? Nijibu hapo kwani.Tatzo nashindwa kuendana na watu wengine.
Huwa naona mnavyochat hapa. Ni kama mnafahamiana vile, mmezoeana kabisa.
Sometime mnataniana.
Hiyo kitu mimi siwezi( japokuwa natamani kiasi fulani).
Mimi nikianzisha stori reply tano naishiwa cha kusema.
Na mtaani niko hivihvi.
Sina.Una hela?? Nijibu hapo kwani.
Duh hongeraimeshakua kama kawaida kulala saa 10, saa 9.....
Kumbe unapakumbuka vizuri, kivuko cha Panton kimekufa baada ya kukamilika kwa daraja hili.Unaenda zako mahengee, nimekumbuka mlima ndororo,
Mambo ya lupiroo, ukifikaa mahenge town, nenda had Kwiro boys high school.
Nimekumbukaa mbali sanaaa, sahivi liko daraja, zaman tulivuka na panton.
Haitokei kuzoeana ukiwa mkimya ,Tatzo nashindwa kuendana na watu wengine.
Huwa naona mnavyochat hapa. Ni kama mnafahamiana vile, mmezoeana kabisa.
Sometime mnataniana.
Hiyo kitu mimi siwezi( japokuwa natamani kiasi fulani).
Mimi nikianzisha stori reply tano naishiwa cha kusema.
Na mtaani niko hivihvi.
Ooh Asante nilikuwa nimesinzia