Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,356
Af kuna wale watu wenyewe wana wivu wakikuona tu unamwagilia moyo utasikia ajajenga anakazi ya kulewa
Ila muhimu kuwa na mjengo mjini mtaalamu ili wakose cha kuzungumza [emoji3]
Af kuna wale watu wenyewe wana wivu wakikuona tu unamwagilia moyo utasikia ajajenga anakazi ya kulewa
nilisutwa na nikapandishwa na kushushwa eti kimtu chenyewe una matege na blah blah nyingiiiibHiyo misuto ni ya kawaida sana 😂
😂😂😂Ungemwambia hili tege la kuvalia suti 😂😂nilisutwa na nikapandishwa na kushushwa eti kimtu chenyewe una matege na blah blah nyingiiiib
Leave the sweet beer alone.endelea kunywa budweiser na flying fish za wadada😆
Tatizo la watanzania hampendi kuambiwa ukweliAf kuna wale watu wenyewe wana wivu wakikuona tu unamwagilia moyo utasikia ajajenga anakazi ya kulewa
Nielimishe sasamshamba hachekwi, mjanja hajioneshi😀
Wew umejenga nyumba ngapTatizo la watanzania hampendi kuambiwa ukweli
chamsingi miguu ilegee sio😂Leave the sweet beer alone.
Napenda ungekuwa karibu ningekulamba vidole mpka nisinzie 🥰🥰🥰🥰 una vidole.vizur ongeza na kucha
Kabisa tunajengs uku tunamwaga moyoIla muhimu kuwa na mjengo mjini mtaalamu ili wakose cha kuzungumza [emoji3]
ukienda arusha mtafute depal akuvutishe kidogoNielimishe sasa
Mkuu unakula.kucha?Nimekulipa..
View attachment 2682339
Sawa mkuuukienda arusha mtafute depal akuvutishe kidogo
Kabisa tunajengs uku tunamwaga moyo
Mkuu unakula.kucha?
Yes,zishafika mpendwa wangu!Yes sweetie huwa namfuatilia
Siku zinakimbia duh
Siku tano zishafika .
Vipi mzima ??
cha muhimu kuyumba 🤣🤣chamsingi miguu ilegee sio😂