Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

A3296FCE-4F43-4A10-972A-1E3C9A18C622.jpeg
 
Mimi nakosa amani kidogo lakini Mungu anajua yote.
Kama kitu si chako anakitoa..kile chako hata kama hakipo mikononi mwako,ipo siku kitakuja.
Kupitia muda ndo unaanza kumuachilia mtu kidogo kidogo .

Mwanzoni obviously utakuwa unamkumbuka thereafter Mambo yanajipa .

Yeah Mungu ndo muweza wa yote
 
Back
Top Bottom