Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Hahahah ukipenda lazima ulie jamani
Uachwe na unayempenda aisee inauma ile mbaya 😂😂 .
Tuna safari ndefu , acha tujifunze
Hahahah ukipenda lazima ulie jamani
Uachwe na unayempenda aisee inauma ile mbaya 😂😂 .
Tuna safari ndefu , acha tujifunze
Mimi mwenyewe nilishawahi kutofautiana na rafiki ambaye alikuwa kama Ndugu,,kwa ugomvi wa kijinga tu.Thank you dear si mahusiano ila
lately sikuwa sawa kabisa .
Stress bado ndo inaishia , hopeful mambo yatakuwa sawa
Muda ni tabibu mzuri.Kupitia muda ndo unaanza kumuachilia mtu kidogo kidogo .
Mwanzoni obviously utakuwa unamkumbuka thereafter Mambo yanajipa .
Yeah Mungu ndo muweza wa yote
Umri wako huo I drank beer every night, slept late on weekends... kila weekends party, nishapita huko mdogo wangu, kula maisha mdogo wangu..We Mtoto uwe na adabu.
Mwezi ujao nina harusi ya mwanangu wa kwanza,anaoa.
Imagine.
Nimeenda age Mimi.
Kwanza unapata wapi jeuri ya kunywa bia na deni langu hujalipa?Umri wako huo I drank beer every night, slept late on weekends... kila weekends party, nishapita huko mdogo wangu, kula maisha mdogo wangu..
Mimi marafiki wananiangusha daily ndo maana najitenga fulani aisee maana wananipiga na vitu vizito .Mimi mwenyewe nilishawahi kutofautiana na rafiki ambaye alikuwa kama Ndugu,,kwa ugomvi wa kijinga tu.
Nilikosa amani.
Ila kama Mungu alidhamiria muwe karibu mtakuwa tu bila kujali Chochote..
Alininunia baadaye alijirudi mwenyewe.
Kitu kama ni Chako basi ni Chako tu,hata kama kwa sasa hakipo mikononi mwako ila inakuja siku kitarudi.
Hahahaaa...njaa inauma nakula kwanzaa.. Nimesema sitii nenoo Mie nhihiiiiiiiiiiHahaha tena
Love is always bittersweet
Tia neno tu , Madam![]()
Okay sisHahahaaa...njaa inauma nakula kwanzaa.. sitii nenoo Mie hihiiiiiiiiii
Nacheka kama mazuri vilee khakhakhaaaa
😂 Eti ikashuka BP🤣🙌Hahaha nimekumbuka mtu wa kwanza kuniacha hadi bp ilishuka aisee .. baadae nikamove on
Yaani anajua kabisa nina kinyongo naye 😂😂 .
Juzi tumefundishwa kusamehee na kuachilia ... Nimesamehee maana we still chat Ila sijaachilia .
Chagua marafiki wachache wa kweli.Mimi marafiki wananiangusha daily ndo maana najitenga fulani aisee maana wananipiga na vitu vizito .
Ndo maana sipo social kihivyo naogopa hahaha
Yeah kama imeandikwa mtakuwa pamoja , mtakuwa tu
Shetani alinipiga matukio mwaka huo ,Mungu tu ndo alinishindia ..😂 Eti ikashuka BP🤣🙌
Weee kumbe !!😉😉!🤔🤔🤔Yeah kama imeandikwa mtakuwa pamoja , mtakuwa tu
"Fita ni fita muraaaa" wanasemaga kabila gani sijui....hahahaaaShetani alinipiga matukio mwaka huo ,Mungu tu ndo alinishindia ..
Kila sehemu vita aisee , moyo ukaumia .
Anyway Mungu ni mkuu akanishindia yote .
Asante najua hilo , sihaingaiki na so called friends .Chagua marafiki wachache wa kweli.
Hata akiwa mmoja ni sawa , kikubwa awe wa kweli.
Kuliko kuwa na marafiki 100 wa uongo.
Dah masikini🥺Shetani alinipiga matukio mwaka huo ,Mungu tu ndo alinishindia ..
Kila sehemu vita aisee , moyo ukaumia .
Anyway Mungu ni mkuu akanishindia yote .
I guess in life inabidi tuwe makini"Fita ni fita muraaaa" wanasemaga kabila gani sijui....hahahaaa
Mie nimenukuu tyu wapendwaaa😉
Mie nanote tyu points wadogo zanguu sinaaa nenoooo📝📝📝📝📝📝,😉😉Chagua marafiki wachache wa kweli.
Hata akiwa mmoja ni sawa , kikubwa awe wa kweli.
Kuliko kuwa na marafiki 100 wa uongo.
Yeah kama ipo ipo tuWeee kumbe !!😉😉!🤔🤔🤔
😃Asante najua hilo , sihaingaiki na so called friends .
It has been six years toka niaachane na ushosti mie
🤣🤣🤣Mie nanote tyu points wadogo zanguu sinaaa nenoooo📝📝📝📝📝📝,😉😉