Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,245
- 90,421
hahahaha,haya banaShauri yako
hahahaha,haya banaShauri yako
I'll be Soldier for you
Tushaamka kitambooo!Amkeni mkateseke nyie watu mlio single![]()
TuoneNa picha
Aliye chukua hii vocha alaaniwe
Umeamshwa na good morning baby au umeamshwa na notification za JFTushaamka kitambooo!
Kwa kutekeleza majukumu boss lady😛😛😛Uone nini mr vocha ???
Wee fanya uje kunisaidia kufanya masahisho tu bossi wetu selfika Nahuyo chawa wako mwenye polio carasco Putin
Kwa kutekeleza majukumu boss lady😛😛😛Uone nini mr vocha ???
Wee fanya uje kunisaidia kufanya masahisho tu bossi wetu selfika Nahuyo chawa wako mwenye polio carasco Putin
Waweza weka Ila kidogo tuVanilla kwenye juice haifai
hiyo shule ni kisangaaa khaaaah
Hahaha ya kawaida sanahahahaha.itakua imesikika ndo maana inasifiwa ina mtoa mtu pangoni
Mwenzetu una rahaAmkeni mkateseke nyie watu mlio single![]()
Mimi sauti yangu hata huwa siielewi .Hahaha ya kawaida sana
Zamani ndo nilikuwa na sauti nzuri
Aisee...View attachment 2347384
Just hold on
Yangu mimi ya kitoto SanaMimi sauti yangu hata huwa siielewi .
Imekaa kama inataka kulia sijui kucheka hakiyanani.
Santo sana mr vocha!✌️ Huu muhula umekaa kiwaki sana mwalimu ukizubaazubaa NECTA hii hapa!Hongera
Kwa kutekeleza majukumu boss lady
Wasabato mna sauti nzuri sana! Labda yule mvuta bange Carrasco putin tu ndio atakua na sauti ya 7BYangu mimi ya kitoto Sana
Huwa najirecord naishia kusema eeh ndo naongea hivi.
Sema wewe unaimba lazima utakuwa na sauti nzuri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! 🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️Umeamshwa na good morning baby au umeamshwa na notification za JF