CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Mpaka hapa nilipofika, sijawahi kukaa chini nikapika chapati za kusukuma![]()
Mpaka hapa nilipofika, sijawahi kukaa chini nikapika chapati za kusukuma![]()
Cooking is funYeah inabidi ujifunze aisee
Sio uvuruge hapo mara wali una kiini
Sindano ya matakoni tena , kwanini usichomwe sindano za mishipabhana ww umenifurahisha. Dkt yule wa kiume anafaidi litako languuu
![]()
Yeah
Sio vibaya
Me anapika huyo hadi wewe ke unabaki kushangaa .
Wanaume ndo wapishi wazuri zaidi

Asantee kipenziPole jamani, ukapone na kuimarika
Mtu anayejua kupika ndo mzuri,si anakufundisha tu.Yule akija kuoa mke wake ajipange, mwanaume anaejua kupika ni wa kwenda nae taratibu ukivuruga aibu juu yako![]()
Nitumie VN ya maelekezo..

TotallyCooking is fun
Na ww ungekuwa dkt sijui ingekuwajeDuh
Takle kama lile
Jamaa mchomaji atalifaudu

Yeah raha sana

Asante dear,... Micn you moreeeeeeShost ugua poleee!!! Mic u
..AmenPole.
Mungu wa Mbinguni azidi kuimarisha afya yako.
Sasa wanakusema Kwa ajili gani?. Kwani ww ulijua?? Muda mwengine manesi nao sijui wapojeeeHahaha noma
Nikienda hospital nahakikisha nimevaa sketi na blouse /suruali .
Nilipiga pia x-ray ya tumbo .. nimejivalisha gauni langu aisee nikalie pale juu ipige picha nilisemwa na hao nurse walikuwa wawili ndani ya chumba .
Nilikuwa mdogo sana hata basi woga umejaa .
Una mtoto shoga??Kuna kipimo huwa wanaingiza huku chini kutoa sample..
Aisee kikinikuta kile sijui nitakuwa mgeni wa nani!
Yaani siwezi kukubali aiseee.
HahahaUna mtoto shoga??
How are you doing mamy??Asante dear,... Micn you moreeeeee..
Nilikuwa kadogo sanaSasa wanakusema Kwa ajili gani?. Kwani ww ulijua?? Muda mwengine manesi nao sijui wapojeee
Kwanza una preheat oven yako wakti unaandaa keki yako kwa dakika kadha 10 au 15 .. ukimaliza sasa unaset temperature 180°C then unaset dakika kwa 40 to 45 minutes . (Hapa dakika inategemea na cake yako inabidi uichungulie uone inavyoiva)
Sijawahi tumia Oven..
Sina.
Zama U tube, utapata maelekezo Kwa vitendo.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Bwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.
Basi akawa anaingiza vidole nkaanza kuona hali inabadilika anakazana tu kuingiza vidole nikamuambia naumia kama hakuna namna basi nije siku nyingine ananiambia subiri. Nikasema leo yatanikuta makubwa lakin nashukuru hakunifanya lolote badae akaacha akaniambia kapata kiasi atatumia hayo hayo nivae nisepe. Nilijiskia vibaya + aibu kunichungulia muda wote huo wakati kulikua na namna nyingine tena rahisi tu.

shoo yalikukuta