Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilijiskia vibaya sijui alikua na lengo gani.
[emoji23][emoji23] niliendaga Amana Kwa wale wa bima. Nilikuwa naumwa mguu ye sijui alijua naumwa paja. Si akasema nyanyuka uvue nione. Weee, nikamwambia dkt mie naumwa mguu, weee alisonyaaa[emoji28]
 
Wanaume hata lugha zao wengi wanajitahidi kuwa na lugha nzuri akina sie sasa [emoji23][emoji23] mdomo kwa kwenda mbele. Napenda baadhi ya hospital ukienda unaulizwa kabisa unahitaji kuhudumiwa na dr wa kike ama wa kiume fasta sana nawajibu dr mwanaume tafadhali.
Yani mimi nikijua ndani Kuna dkt wa kiume huwa nafurahia sana. Wana kauli nzuri na wakarimu..
 
Ni ka diclofenac nini [emoji16]ndio uwa wanakataa kwenye mshipa.. ni tako au ufunue paja…
[emoji16][emoji16] private hiyo. Nilimmind kinouma halafu nilikuwa nimevaa gauni mchongoko.
 
Back
Top Bottom