Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna jamaa namfahamu, back in days ni miaka mingi imepita, alinipa story kuna mama wa makamo alikuja hospital njia ya mkojo imeziba, jamaa alikuwa ndio yupo pale, kijana mdogo tena yupo field, njia pekee ni kuchomeka ki bomba kwenye tundu la mkojo.

Yule mama alipoambiwa utaratibu faster sana, nguo ya ndani ipo chini, jamaa akachukua straw akachomeka, akaingiza ndani, mkojo fyuuuuuuuu kwenye chupa, mkojo umebadilika na rangi yaelekea ulikaa muda mrefu.

Yule mama akamuchia na pesa jamaa "mwanangu asante"

ukitaka matibabu aibu toa, yaani jamaa ananiambia yule mama ki umri anamzaa , lakini alikuwa bado mgeni kazini, hopefully ashakuwa mzoefu.

Aiseee!!

Yaani mtoto wa kumzaa anamchungulia

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom