Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Nimemwambia mm mumeo [emoji23][emoji23]Mwambie wewe ni afsa kipenyo
Nimemwambia mm mumeo [emoji23][emoji23]Mwambie wewe ni afsa kipenyo
[emoji23] jifunze uwe unapika mwenyeweKuna x wangu alikuwa anajua kupika sijui nirudiane naye
Muonyeshe na cheti cha ndoaNimemwambia mm mumeo [emoji23][emoji23]
Tutorial nzuri sana zinaelekeza vyemaAfu kweli, nitazama Youtube nijaribu ili hata nikivuruga iwre siri yangu[emoji2]
Sio kwa namna ile, yule alikua na yake.Digital per vagina examination is very vital examination ukiwa unachunguzwa magonjwa ya uke ,kizazi ,mirija au mfuko wa mayai au tumbo la chini. Don't feel ashamed-it is a very normal procedure,angekufafanulia tu
Ndiwooo dakitareeeDigital per vagina examination is very vital examination ukiwa unachunguzwa magonjwa ya uke ,kizazi ,mirija au mfuko wa mayai au tumbo la chini. Don't feel ashamed-it is a very normal procedure,angekufafanulia tu
Mwanaume utakiw kupika sana najifunza humu nakuwa namfundisha x wangu[emoji23] jifunze uwe unapika mwenyewe
Cravings [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Panya amepita nachoMuonyeshe na cheti cha ndoa
Sawa mamii nitajaribu.Kuvuruga ndiyo mwanzo wa kujua.
Wapo wanajua balaaMwanaume utakiw kupika sana najifunza humu nakuwa namfundisha x wangu
Kwanza mwanaume kuwa na mwiko masufiria ni kosa la kiuanaume
Ndyo maana wanawake wana vitambi kumbe ni kula viporo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cravings [emoji23][emoji23]
Kiporo kitamu asikuambie mtu
Ahsante, nitapita kuzicheki.Tutorial nzuri sana zinaelekeza vyema
Channel nazopenda za mapishi , shuna's kitchen , ika malle , mapishi rahisi na Rukia laltia
Umeanza, sioni shida mwanaume kujua kupika. Jifunze bwana.Mwanaume utakiw kupika sana najifunza humu nakuwa namfundisha x wangu
Kwanza mwanaume kuwa na mwiko masufiria ni kosa la kiuanaume
[emoji23][emoji23]Ndyo maana wanawake wana vitambi kumbe ni kula viporo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeWapo wanajua balaa
Humu tunaye pilot anajua ile mbaya
Yule akija kuoa mke wake ajipange, mwanaume anaejua kupika ni wa kwenda nae taratibu ukivuruga aibu juu yako [emoji23]Wapo wanajua balaa
Humu tunaye pilot anajua ile mbaya
Sawa dearAhsante, nitapita kuzicheki.
YeahAisee
Yeah inabidi ujifunze aiseeYule akija kuoa mke wake ajipange, mwanaume anaejua kupika ni wa kwenda nae taratibu ukivuruga aibu juu yako [emoji23]