GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Picha zimeadimika,
tumeni hata za misosi.
tumeni hata za misosi.
Picha zimeadimika,
tumeni hata za misosi.
Bwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.Ikawaje shost, tupe kisa hapa.![]()
Mimi hadi leo hii nikienda hospital napenda anihudumie mwanaume kiukweli kabisa.Yaani huduma nyingine anihudumie mwanaume..
Kuuliza maswali Nini,ila linapokuja suala la sindano na kuchunguliana basi napenda awe mwanamke.
Wanawake wengi tuna roho mbaya hatari.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kuna mtu anaenda kulala uchi Leo any way Hongera zao mm mwakani naoa
🤣🤣🤣🤣 Sio MTU ni watu.Kuna mtu anaenda kulala uchi Leo any way Hongera zao mm mwakani naoa
Hongera dokta kazi nzuri hyo umetufanyiaBwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.
Basi akawa anaingiza vidole nkaanza kuona hali inabadilika anakazana tu kuingiza vidole nikamuambia naumia kama hakuna namna basi nije siku nyingine ananiambia subiri. Nikasema leo yatanikuta makubwa lakin nashukuru hakunifanya lolote badae akaacha akaniambia kapata kiasi atatumia hayo hayo nivae nisepe. Nilijiskia vibaya + aibu kunichungulia muda wote huo wakati kulikua na namna nyingine tena rahisi tu.



Haya bana wape Hongera zaoSio MTU ni watu.
Yule alikua na yake sio bure.Hongera dokta kazi nzuri hyo umetufanyia![]()
Ukampa kidogo lknYule alikua na yake sio bure.
mkuu hapa ni arusha? mana naliona kwa mbali ghorofa la esami kama sikosei
😂 hapana, nilienda kwa matibabu sio kingineUkampa kidogo lkn
Wadada wa kizungu pia wanataka 50/50 na pia hawachoki kwenye sex?😂😂😂wanaiuzi kwenye kuwaomba pesa, hawahongi hovyo, yaan wao wanataka 50/50.
Au labda uaandae proposal ya bussiness, but ni wadadavuaji watataka had wajue kiini cha project dadeki, wazungu ni nyokooooooh.
Ila akikupendaa utafaidi, wanauzi hawachoki ktk sex yaan utadhan porno khaaaaah, yule mbwaaa anikomee.
![]()
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😉😉😉Naonaga nacheka tu ila ukiliona lizuri unaliungia😆😆
Hata penzi ni matibabu ujue namshukuru nesi fulan alikuja kunichoma sindano homehapana, nilienda kwa matibabu sio kingine
Sikuwepo Shangazi.. Tupia basi niendelee na safari 🥲🥲🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😉😉😉
Hizi username mpya sasa!!! Badae Nitaweka saivi nipo bize kidogoSikuwepo Shangazi.. Tupia basi niendelee na safari 🥲🥲