Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Apambane na hali yake huyo😂😂Nobody can destroy snapchat 🤣
Vide my status 😄😄 Lenie
Eti ka mtu kaharibu snapchat, sisi wa tuvideo video tutajirekodia wapi…
View attachment 2264882
Apambane na hali yake huyo😂😂Nobody can destroy snapchat 🤣
Vide my status 😄😄 Lenie
Eti ka mtu kaharibu snapchat, sisi wa tuvideo video tutajirekodia wapi…
View attachment 2264882
YepMadaktari [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji28] nilimuona muda tuu ananimezea mate.Alikosa kuona upaja hahaa
Kisa [emoji23][emoji23]
Yeah mzuri huyoMwanaume anayejua kupika ndiyo mzuri sana
Most of em,, hasa hawa gen z,, wakifika chuo au wanafanya kazi ni kama wamebalehe juzi,, kila mdada wanataka kumlaKisa [emoji23][emoji23]
Ah sahihiYani manesi wanatakiwa kubadilisha lugha zao kiukweli.
Ila kweli wengi wana hii tabiaMost of em,, hasa hawa gen z,, wakifika chuo au wanafanya kazi ni kama wamebalehe juzi,, kila mdada wanataka kumla
Kabisa,,, unatulia zako yeye anasababisha fureeeshi . Sema wanaume wenyewe wa siku hizi Sasa [emoji28]Yeah mzuri huyo
Siku moja unadeka hapo , yeye apike [emoji23]
Huwa nawaona madogo wa st Joseph,, nabaki nacheka tuIla kweli wengi wana hii tabia
Ndo mana Mimi sifagiliagi mwanamume dkt [emoji16]. Wana mambo ya hovyo Sana.Most of em,, hasa hawa gen z,, wakifika chuo au wanafanya kazi ni kama wamebalehe juzi,, kila mdada wanataka kumla
Mgonjwa anaweza kuongeza tatizo hata kabla hajapata matibabu. Kauli zao tu ni za mafikirisho sanaAh sahihi
Washazoea kukaripia watu tu
Wapo wanaopenda ila wachacheKabisa,,, unatulia zako yeye anasababisha fureeeshi . Sema wanaume wenyewe wa siku hizi Sasa [emoji28]
Na wanafanya kazi mazingira yana vishawishi kama hujielew ndio basi tenaNdo mana Mimi sifagiliagi mwanamume dkt [emoji16]. Wana mambo ya hovyo Sana.
Hapo ujiulize wameingia wadada wangapi na amewatamani? [emoji23]Ila kweli wengi wana hii tabia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawaa,, ila ni watu wa muhimu sana kwenye jamiiNdo mana Mimi sifagiliagi mwanamume dkt [emoji16]. Wana mambo ya hovyo Sana.
Hatar sanaHapo ujiulize wameingia wadada wangapi na amewatamani? [emoji23]
Ah inakera sanaMgonjwa anaweza kuongeza tatizo hata kabla hajapata matibabu. Kauli zao tu ni za mafikirisho sana
Girls[emoji16][emoji16]Wapo wanaopenda ila wachache
Unadeka na kudeka tena [emoji23][emoji23]
True love exists
Muwe mnasema mapema wengine ni madokta wa kujitegemea Ila natibu usiku tuUlcers, unipe dawa basi[emoji1]