Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Uvae kamaNyumbani bia hazishuki kwani?
Nivaaje?![]()
Sarah Mwendokas au
Aisha Mishauo
Uvae kamaNyumbani bia hazishuki kwani?
Nivaaje?![]()
Afadhali kidogo mlisuuza roho hongereni
Nakumbuka mtaani tulikuwa tunacheza nilikuwa GA alafu nilikuwa busy siku ya mechi Hadi nafika uwanjan wameshaanza kucheza tumefungwa 5. Nikagaili aiseenikawaambia wamalizie tu kufungwa inauma balaa na si unajua wadada tunakuwaga na nyodo
![]()








Yaniiii... halafu Binti vyetu vyenyewe vya bushi wale wa town weeee full mashauzi kushangilia sasa wakwetu wanabaki tu nhiiiiiiiiii!!![]()












Lazima utoe nguoHahaha noma
Nikienda hospital nahakikisha nimevaa sketi na blouse /suruali .
Nilipiga pia x-ray ya tumbo .. nimejivalisha gauni langu aisee nikalie pale juu ipige picha nilisemwa na hao nurse walikuwa wawili ndani ya chumba .
Nilikuwa mdogo sana hata basi woga umejaa .
😂😂😂😂Eti nyumbani
Kwani analeta mahari
Nendeni club
Na uvae kama wa mataifa
Paja nje takle wazi
Mgongo uonekane
Sio uvae ki Abihud
Mpuuzi alinichungulia..sema ndio alikuwa busy kwenda kufyatua pichaAlifaudu
Ooooh hapo sawaaah!!!Nimerudia nadhani wewe ushaiona shos!!
Ah yani vipimo vingine hivi .Lazima utoe nguo
Dah maisha haya
Sijui hata nilijisikiaje,kuchunguliwa msala sana.
Kuna kipimo huwa wanaingiza huku chini kutoa sample..Ah yani vipimo vingine hivi .
Inabidi ukubali tu .. hakuna namna .
Yaniii walikua wamebanaje mawowowo yao hadi Walimu wetu bachelors walitokwa na mimacho kila mtu ni!!









watu weuweeeeeeeeeeeeh.Kuna kipimo huwa wanaingiza huku chini kutoa sample..
Aisee kikinikuta kile sijui nitakuwa mgeni wa nani!
Yaani siwezi kukubali aiseee.









Kama kataka wewee usingekula mzeeNasikia
Wanawakulaga![]()
😅😅 kifua tu unaogopa hivyo?Mimi niliwahi kupiga x-ray ya kifua..Dah yule Kaka alinichungulia kifua changu 🤣 Mweee..anakuja kuniweka kile kibao vizuri ,
Akiyanani..ikabidi nijikaze tu kuchunguliwa😒
Ah hicho balaaKuna kipimo huwa wanaingiza huku chini kutoa sample..
Aisee kikinikuta kile sijui nitakuwa mgeni wa nani!
Yaani siwezi kukubali aiseee.
Unaopt kwenda kuingiza mwenyewe.. inaruhusiwa..Kuna kipimo huwa wanaingiza huku chini kutoa sample..
Aisee kikinikuta kile sijui nitakuwa mgeni wa nani!
Yaani siwezi kukubali aiseee.
Siwi comfortable kuangaliwa.😅😅 kifua tu unaogopa hivyo?
Ukikuwa uoga utakuisha…
Hahah ...mimi siku moja hivohivoMimi niliwahi kupiga x-ray ya kifua..Dah yule Kaka alinichungulia kifua changu 🤣 Mweee..anakuja kuniweka kile kibao vizuri ,
Akiyanani..ikabidi nijikaze tu kuchunguliwa😒
Hata ningekuwa Mimi ningekataa.Ah hicho balaa
Nimekumbuka mdada mmoja aliambiwa afanyiwe sasa yule nurse wa kiume akamuambia twende nitoe yule dada alikataa .. akamwambia nipe nitaleta .
Siwi comfortable kuangaliwa.
Sculi kwenyewe nimepata tabu..nilikuwa navaa Kwa kujificha sana..maisha ya Hostel bwana
![]()







nimecheka mnooooo.