Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa hio boys walicheza na girls football, kwa maana wao wana girls na nyie mna boys...
No shule zote zina form 1-6! sisi advance ni boys tu wanakaa boarding na olevo ni mixa boys and girls ila day kwao Advance ni girls tupu na wanakaa boarding olevo mixa then
kwenye netball wao waliweka majembe yao ya advance olevo waliokoteza waliocheza na girls wetu wa olevo
Huku kwenye football boys wetu majembe mengi yalitoka advance olevo tuliokoteza pia kucheza na boys wao wa olevo!
 
Netball tulifungwa 15 kwa 9 ila tukalipiza kwenye football
Wao Advance ni girls tupu na wanajua netball sio kitoto nasie advance ni boys tupu Vijana tunawapa mazoezi ya football kutosha so walau tulibalance ushungu!!
Afadhali kidogo mlisuuza roho hongereni

Nakumbuka mtaani tulikuwa tunacheza nilikuwa GA alafu nilikuwa busy siku ya mechi Hadi nafika uwanjan wameshaanza kucheza tumefungwa 5. Nikagaili aisee nikawaambia wamalizie tu kufungwa inauma balaa na si unajua wadada tunakuwaga na nyodo
 
Yaniiii... halafu Binti vyetu vyenyewe vya bushi wale wa town weeee full mashauzi kushangilia sasa wakwetu wanabaki tu nhiiiiiiiiii!! 😂😂😂
 
Back
Top Bottom