EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,136
- 13,401
Napenda chapati sanaaaa eye seee zinanituliza moyo na hasira.Chapati hoyee .
Napenda chapati sanaaaa eye seee zinanituliza moyo na hasira.Chapati hoyee .
Chapati maini/ maharage/ njugu? Au chapati chai maziwaNapenda chapati sanaaaa eye seee zinanituliza moyo na hasira.Chapati hoyee .
Mpaka hapa nilipofika, sijawahi kukaa chini nikapika chapati za kusukuma😀😀
Kwenye multi cooker langu, kuna press button ya cake/ bake.. nataka siku nijaribu nione kitatoka kitu gani
Mpaka hapa nilipofika, sijawahi kukaa chini nikapika chapati za kusukuma![]()




Jaribu.Kwenye multi cooker langu, kuna press button ya cake/ bake.. nataka siku nijaribu nione kitatoka kitu gani
Chapati maziwa .Ntaua mtu.Chapati maini/ maharage/ njugu? Au chapati chai maziwa
Huyu ndyo wife material sasa
Duh....maDr. wengine wana namna zao tuBwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.
Basi akawa anaingiza vidole nkaanza kuona hali inabadilika anakazana tu kuingiza vidole nikamuambia naumia kama hakuna namna basi nije siku nyingine ananiambia subiri. Nikasema leo yatanikuta makubwa lakin nashukuru hakunifanya lolote badae akaacha akaniambia kapata kiasi atatumia hayo hayo nivae nisepe. Nilijiskia vibaya + aibu kunichungulia muda wote huo wakati kulikua na namna nyingine tena rahisi tu.
Unanichokoza ee
Kaka siyo madr bana hawa mabinti wana mitego Kuna siku nilisimamishwa na traffic kaona pisi kali ilikuwa imeacha viziwa vinaonekana tu katuruhusu twendeDuh....maDr. wengine wana namna zao tu
Chapati na maziwa ni habari nyingineChapati maziwa .Ntaua mtu.View attachment 2264903

Hivi Kwanini wanaume wengi wanapenda chapati?Napenda chapati sanaaaa eye seee zinanituliza moyo na hasira.Chapati hoyee .
Inategemea, kuna nyakati wagonjwa ndio tunazingua na kuna muda nyie madokta mnazingua.Kaka siyo madr bana hawa mabinti wana mitego Kuna siku nilisimamishwa na traffic kaona pisi kali ilikuwa imeacha viziwa vinaonekana tu katuruhusu twende
Ila niwe mkweli chapati za kusukuma sijui kabisa na hata sitaman kujifunza. Labda cake.