Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Unanisema ? 😂😂😂 achana na sumu za spidernyokaNa
Sijui kwanini
Hajiamini
Unanisema ? 😂😂😂 achana na sumu za spidernyokaNa
Sijui kwanini
Hajiamini
Na wale wenye connection zao mjini wamejaa humu😁😁
Haya nasubiriAsante kipenzi. Niombeeni nipone Kwa haraka nije nilete mrejesho wa mazoezi![]()
Amen, hakika Mungu atanifanyia ahueni Kwa maombezi yako.Pole sana mzungu
Nakuombea upate ahueni mapema

Raha ya sindano taqoni 🤣🤣Aisee
Pole rafiki
Hope hizo sindano
Zinachomwa mkononi
Sio kule
Boring vipi wewe ?Im all good howz weekend?
Pole mrembo,
tunakuombea upone haraka,
Meanwhile, naomba niwe nakuchoma hizo sindano.
bhana ww umenifurahisha. Dkt yule wa kiume anafaidi litako languuu
Mama unaumwa kumbe? Ndio mana sikuoni kijiweni pole sana.Asantee ma'am
Zinachomwa Kwa takooo baba.Aisee
Pole rafiki
Hope hizo sindano
Zinachomwa mkononi
Sio kule
Nimemkumbuka yule afsa usalama 🤣🤣😆😆😆Na wale wenye connection zao mjini wamejaa humu😁😁
Aisee....Safiii jirani
Athantee kipenziiiWishing you a quick recovery mamy¡
Surgery kuanzia usoni, kifua mpaka tako.
Ushua wa mchongo 😄😄😄Pisi kali wa kishua😍
AmenHaya nasubiri
Kila la kheri
Ah polebhana ww umenifurahisha. Dkt yule wa kiume anafaidi litako languuu
![]()
Boring nini we wakishua, kasome novels 😁😁Boring vipi wewe ?
Naumwa bhna shostiyo... Tena haswaa.Mama unaumwa kumbe? Ndio mana sikuoni kijiweni pole sana.