Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 30,260
- 87,562
Namimi nipo hapohapo nakuona na kipara chako kwa mbalii!My life is a movie and everybody is watching.
Nipo hapa kituo cha SGR Dom, watakaoshuka usiku huu watapata bahati ya kuniona live, warembo wote wanakaribishwa kuniomba chochote.
Waomba kumi wa kwanza, nitawapa ofa ya kuwapeleka Rainbow wakale kuku choma na brutals
