Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Omba omba ya wanawake wa Tanzania kwani imeanza leo? Au mmefurahi na mzungu naye amebaini hilo! Kama mwanamke unamtongoza asubuhi, jioni tayari shida zimeanza mama amelazwa, gas imeisha, nywele zimechakaa, mafuta ya kupaka yameisha, ila wanawake hawajui tu, wanajishusha sana thamani zao
Wanaona ni sifa na bahati nzuri wanaume wamezinduka ndio maana wanatumiwa na kuachwa
 
Kila kitu kinafanywa kwa kiasi kikizidi ni harmful
Hakuna kitu kama hicho. Kila mtu hupenda ku faidi urafiki. Mwache na K yake nawe akuache na hela yako. Kama huna hela, waite mashemeji tu. Acha wenye meno (hela zao) watafune. Msiwe mnapenda vya bure, bure gharama. Unapomuapproach mwanamke lazima uweke mezani chambo ili umnase huyo samaki. Bila chambo sahau mambo ya samaki
 
Kwanini yeye asitafute wa kwake mmoja atafune ila aombe kwa wanawake?
Hoja wala si yeye, hoja ni wanawake ombaomba.

Yeye hata asipokuwapo, hao wanawake kama ombaomba watakuwapo tu.

Sasa hapo ndipo swali langu linakuja.

Na wewe unatetea ujinga wa wanawake kuwa ombaomba?
 
Hakuna kitu kama hicho. Kila mtu hupenda ku faidi urafiki. Mache na K yake nawe akuache na hela yako. Kama huna hela, waite mashemeji tu. Acha wenye meno (hela zao) watafune. Msiwe mnapenda vya bure, bure gharama. Unapomuapproach mwanamke lazima uweke mezani chambo ili umnase huyo samaki. Bila chambo sahau mambo ya samaki
Ungekuwa una Binti ungemshauri kama hivi
 
Hoja wala si yeye, hoja ni wanawake ombaomba.

Yeye hata asipokuwapo, hao wanawake kama ombaomba watakuwapo tu.

Sasa hapo ndipo swali langu linakuja.

Na wewe unatetea ujinga wa wanawake kuwa ombaomba?
Mimi nawatetea kwasababu ya ujinga unaoendekezwa na wanaume wenyewe! Wangepunguza tamaa wala wasingekuwa na Sababu ya kuombana pesa!
 
Hakuna kitu kama hicho. Kila mtu hupenda ku faidi urafiki. Mache na K yake nawe akuache na hela yako. Kama huna hela, waite mashemeji tu. Acha wenye meno (hela zao) watafune. Msiwe mnapenda vya bure, bure gharama. Unapomuapproach mwanamke lazima uweke mezani chambo ili umnase huyo samaki. Bila chambo sahau mambo ya samaki
Ingekuwa una Binti ungemshauri kama hivi
 
Mimi nawatetea kwasababu ya ujinga unaoendekezwa na wanaume wenyewe! Wangepunguza tamaa wala wasingekuwa na Sababu ya kuombana pesa!
Huyo mzungu kapata experience kupitia kwenye mahusiano ambayo amedate na wanawake wa kibongo ndio kaona hicho
 
Ingekuwa una Binti ungemshauri kama hivi
Angekuwa binti yako yako anatumika hovyo tu wahuni kwasababu hana sababu ya kuomba ungemshauri vipi? Kigezo cha pesa kinafukuza mbwa wengi na kinasaidia sana! Lasivyo wengine watapewa pesa, wewe utageuka chama la wana!
 
Huyo mzungu kapata experience kupitia kwenye mahusiano ambayo amedate na wanawake wa kibongo ndio kaona hicho
Hakuwa makini mwenyewe, alikutana na makurumbembe acha pesa zimtoke mi sioni shida yoyote! Kama alikuwa serious kutafuta patner wala asingepata wa aina hiyo, energy attracts!
 
Kwamba wanaume hamjamuelewa Seran au hamtaki kumuelewa?

Mme-normalize umalaya, gharama za umalaya ndio hamzitaki.

Mwanaume anakutongoza asubuhi, jioni anataka kukulala, ila wewe ukimuwahi ukamwambia gesi imeisha sijui bibi kameza kiwembe gafla umegeuka omba omba yeye sio ombaomba.

Nyote ninyi ni omba omba mnatofautiana tu mnachoombana.

As a woman, naelewa 100% kwanini wanawake wana omba omba!
 
Omba omba ya wanawake wa Tanzania kwani imeanza leo? Au mmefurahi na mzungu naye amebaini hilo! Kama mwanamke unamtongoza asubuhi, jioni tayari shida zimeanza mama amelazwa, gas imeisha, nywele zimechakaa, mafuta ya kupaka yameisha, ila wanawake hawajui tu, wanajishusha sana thamani zao
Kama unadhani tusioomba ndio tunaonekana tuna thamani, pole…. karibu kwenye ulimwengu wa kike ujifunze.
 
Mimi nawatetea kwasababu ya ujinga unaoendekezwa na wanaume wenyewe! Wangepunguza tamaa wala wasingekuwa na Sababu ya kuombana pesa!
Hapana, hii ni hoja ya kujitetea tu.

Kuna wanawake wengi wanaombaomba pesa kitabia tu, wanatuomba hata sisi wanaume tusio na tamaa nao.

Wanatutega.

Hawa huwezi kusema wanaomba kwa sababu ya tamaa ya wanaume.
 
Kama unadhani tusioomba ndio tunaonekana tuna thamani, pole…. karibu kwenye ulimwengu wa kike ujifunze.
Suala si kuonekana.

Kuonekana hata jambazi mshenzi akivaa suti anaweza kuonekana kama bosi wa maana.

Suala ni mtu mwenyewe.

Anajithamini? Anajiamini? Anajipigania kusimama mwenyewe aishi kwa uwezo wake na si kwa fadhila za mtu mwingine?

Au anajiuza tu kama malaya?
 
Kwamba wanaume hamjamuelewa Seran au hamtaki kumuelewa?

Mme-normalize umalaya, gharama za umalaya ndio hamzitaki.

Mwanaume anakutongoza asubuhi, jioni anataka kukulala, ila wewe ukimuwahi ukamwambia gesi imeisha sijui bibi kameza kiwembe gafla umegeuka omba omba yeye sio ombaomba.

Nyote ninyi ni omba omba mnatofautiana tu mnachoombana.

As a woman, naelewa 100% kwanini wanawake wana omba omba!
Hiyo inaitwa matching energy!

Hatuna mutual feeling, hatuna mahusiano, huna ratiba zozote za kupanga maisha na mimi unaniomba kyuma kirahisi hivyo! Una kichaa? Wakale wanapopelekaga mboga bana! Mtu Kaoa ila anaomba tu kama anaomba ugali..

Wanajitoa fahamu kwa sababu tu wanatamani kuonja kila radha, dawa yao ni hiyo tu!
 
Angekuwa binti yako yako anatumika hovyo tu wahuni kwasababu hana sababu ya kuomba ungemshauri vipi? Kigezo cha oesa kinafukuza mbwa wnegi na kinasaidia sana! Lasivyo wengine watapewa pesa, wewe utageuka chama la wana!
Ningekuwa Nina Binti nisinge mshauri ategemee wanaume kifedha ningemuwezesha kujitegemea binafsi ukishakuwa na uhuru wa kiuchumi huwezi kutumika lakini ukiwa dependency lazima utumike ovyo ovyo
 
Ungekuwa una Binti ungemshauri kama hivi
Binti au mabinti? Kwanza kwanini aitoe K yake bila akili. Unajua madhara ya kutoa K? Hujui risks za binti kutoa K wewe. Kila siku mnaongelea masingle maza. Unajua prida jana kaongea ukweli wake? Wewe unataka akusaidie kumaliza uhanga wako, lakini hujui kuwa anaweza kupata mimba na akazaa kitoto kitakachosumbua siyo wewe bali binti na uzao wake wote. Ni haki yake kufika bei maana atakapoibeba wewe hutakuwa unaumia, atakapokuwa anachanika katika kuzaa, utakuwa pembeni tu. Ukimkimbia ndiye atalea kitoto. Ati wanadharaulika, acha hizo na nyie muache kuomba K. Akina Labella wakitukatalia hatuwaoni wabaya au wajinga bali wanacalculate risks. Ni kazi zetu kuhakikisha nao wanaona faida ya kutugea K zao. Acheni akili fupi
 
Back
Top Bottom