Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Kwamba wanaume hamjamuelewa Seran au hamtaki kumuelewa?

Mme-normalize umalaya, gharama za umalaya ndio hamzitaki.

Mwanaume anakutongoza asubuhi, jioni anataka kukulala, ila wewe ukimuwahi ukamwambia gesi imeisha sijui bibi kameza kiwembe gafla umegeuka omba omba yeye sio ombaomba.

Nyote ninyi ni omba omba mnatofautiana tu mnachoombana.

As a woman, naelewa 100% kwanini wanawake wana omba omba!
Safi napenda wasichana bold kama nyie. Starehe gharama ujue; kama huna hiyo fedha, punyeto inakutosha ila ukitaka cha mtu lazima ukigharamie. Period
 
Hapana, hii ni hoja ya kujitetea tu.

Kuna wanawake wengi wanaombaomba pesa kitabia tu, wanatuomba hata sisi wanaume tusio na tamaa nao.

Wanagutega.

Hawa huwezi kusema wanaomba kwa sababu ya tamaa ya wanaume.
Sawa kama issue ni kuombwa bila mpangilio haya! Ila kama ni kwa tamaa zenu binafsi lazima mtaombwa pesa pia! Mnataka kuonja kila ladha ila sio kuwajibika! Matching energy inaleta relief sana, unaweza kujikuta umesaidia kamtaa hivhivi unageuzwa chama la wana, wenzio wakiprovide bills eti wanajiuza, kwahiyo nani mama huruma kama sio mimi tena! Bora nikose vyote? Hapana mkale mnapopelekaga mboga aisee!
6533985A-169F-4690-B27A-3F0B5A3384A4.jpeg
 
Hakuwa makini mwenyewe, alikutana na makurumbembe acha pesa zimtoke mi sioni shida yoyote! Kama alikuwa serious kutafuta patner wala asingepata wa aina hiyo, energy attracts!
Kumbuka yeye ni Taifa lingine hajui vizuri utamaduni wa lifestyle za wakidada wa bongo huwezi kusema angekuwa serious angepata wa maana mbona wewe ambaye upo bongo ujapata wa maana na ulikuwa serious?
 
Suala si kuonekana.

Kuonekana hata jambazi mshenzi akivaa suti anaweza kuonekana kama bosi wa maana.

Suala ni mtu mwenyewe.

Anajithamini? Anajiamini? Anajipigania kusimama mwenyewe aishi kwa uwezo wake na si kwa fadhila za mtu mwingine?

Au anajiuza tu kama malaya?
Vyovyote vile ila sio kugawa kama
Karanga kwa wasio kuhusu!😝🤸🏽‍♀️
 
Ningekuwa Nina Binti nisinge mshauri ategemee wanaume kifedha ningemuwezesha kujitegemea binafsi ukishakuwa na uhuru wa kiuchumi huwezi kutumika lakini ukiwa dependency lazima utumike ovyo ovyo
Unafikiri hao mabinti wanaoomba omba wangekuwa naonhuo uhuru wangebaki kuombaomba hovyo?
 
Kumbuka yeye ni Taifa lingine hajui vizuri utamaduni wa lifestyle za wakidada wa bongo huwezi kusema angekuwa serious angepata wa maana mbona wewe ambaye upo bongo ujapata wa maana na ulikuwa serious?
Hilo jambo haliko huku tu ni world wide! Sasa sijui hapo kipi kigeni kwake, ameshakuja huku ajitune tu asipangie watu wawe vipi, tofauti na hapo angekuja na wapenzi wake akawa anawabadilisha kama vichaa!
 
Angekuwa binti yako yako anatumika hovyo tu wahuni kwasababu hana sababu ya kuomba ungemshauri vipi? Kigezo cha oesa kinafukuza mbwa wnegi na kinasaidia sana! Lasivyo wengine watapewa pesa, wewe utageuka chama la wana!
Huyo Hziyech22 hajitambui, ubinafsi tu. Wanaume Tuache kuwaonea mabinti
 
Sawa kama issue ni kuombwa bila mpangilio haya! Ila kama ni kwa tamaa zenu binafsi lazima mtaombwa pesa pia! Mnataka kuonja kila ladha ila sio kuwajibika! Matching energy inaleta relief sana, unaweza kujikuta umesaidia kamtaa hivhivi unageuzwa chama la wana, wenzio wakiprovide bills eti wanajiuza, kwahiyo nani mama huruma kama sio mimi tena! Bora nikose vyote? Hapana mkale mnapopelekaga mboga aisee!View attachment 3601010
Kuna wanawake wengi sana wanaomba bila mpangilio.

Mtu mnajuana leo tu, kesho anakutangazia shida zake zote, za mama yake, za familia nzima.

Hawa ni wengi sana usiwatetee.

Halafu, kama unamuona mtu anataka kuonja kila sehemu kwa nini usimkatae tu? Kwa nini umuombe pesa kwa sababu anaonja kila sehemu?

Wewe ni malaya mpaka utake kuwa na mtu anayetaka kuonja kila sehemu kwa kumdai pesa?

Kama mnakubali kuwa nyie ni malaya tukubaliane kabisa.
 
Anajithamini? Anajiamini? Anajipigania kusimama mwenyewe aishi kwa uwezo wake na si kwa fadhila za mtu mwingine?
Hata hawa wanatongozwa na sampuli ile ile ya wanaume malaya wanaotaka sex tu.

Hivyo mtu wa hivyo kama anataka mwanaume akachague kutoka sayari ipi? Atachagua katika hilo hilo kundi la malaya wa kiume na kama ziko timamu kichwani kwake atatafuta means ya kukithaminisha anachokitoa ambacho ni sex, muda, emotional support.
 
My life is a movie and everybody is watching.

Nipo hapa kituo cha SGR Dom, watakaoshuka usiku huu watapata bahati ya kuniona live, warembo wote wanakaribishwa kuniomba chochote.

Waomba kumi wa kwanza, nitawapa ofa ya kuwapeleka Rainbow wakale kuku choma na brutals


Hii njia ya kutafuta mabwana inawasaidia kweli?
 
Safi napenda wasichana bold kama nyie. Starehe gharama ujue; kama huna hiyo fedha, punyeto inakutosha ila ukitaka cha mtu lazima ukigharamie. Period
Jambo moja la kuzingatia ni kwamba wanawake hawakuamka siku moja wakaanza kuomba omba pesa.

Wanasema accountability kwa wanawake ni ngumu, mmeiona accountability kwa wanaume inavyofanana?

Wao ndio wanapanga mahusiano yaanze lini, yaishe lini, ndani ya mahusiano tufanye nini, nimpe nini, asinipe nini!

Must be nice being one 😂🤡
 
Kuna wanawake wengi sana wanaomba bila mpangilio.

Mtu mnajuana leo tu, kesho anakutangazia shida zake zote, za mama yake, za familia nzima.

Hawa ni wengi sana usiwatetee.

Halafu, kama unamuona mtu anataka kuonja kila sehemu kwa nini usimkatae tu? Kwa nini umuombe pesa kwa sababu anaonja kika sehemu?

Wewe ni malaya mpaka utake kuwa na ntu anayetaka kuonja kila sehemu kwa kumdai pesa?

Kama mnakubali kuwa nyie ni malaya tukubaliane kabisa.
sawa point yako nimeielewa

ila bora tukubaliane tu!🫢
 
Hata hawa wanatongozwa na sampuli ile ile ya wanaume malaya wanaotaka sex tu.

Hivyo mtu wa hivyo kama anataka mwanaume akachague kutoka sayari ipi? Atachagua katika hilo hilo kundi la malaya wa kiume na kama ziko timamu kichwani kwake atatafuta means ya kukithaminisha anachokitoa ambacho ni sex, muda, emotional support.
Kwanza si kweli kwamba wanaume wote ni wa sampuli hiyo.

Ume generalize sana.

Wanaune wengi sana hata hawana uwezo wa kuhonga wanawake. Wengi ni vijana hawajafanikiwa, wengi wanajitafuta bado, wengi wana akili za kujipanga kimaisha wanatafuta wenza wa kupanga maisha nao, lakini wanawake wengi hawawataki hawa kwa sababu wanawaona hawana pesa.

Wanataka mtu aliyekwishapata oesa tayafi. Na hapo ndipo umalaya unapoanza kwa pande zote mbiki za wanawake na wanaume.

Ukweli kwamba kuna wanaume wanalalamika kwamba kuna wanawake wengi ombaomba sana, kimsingi ni malaya wanaojiuza kutafuta pesa na mali, na wanaume hao hawapendi hilo, unaonesha kuwa kuna wanaume wengi hawapendi tabia hii.

Pili, hata kama ni kweli wanaume ni malaya wanahangaika, wanawake wana nguvu ya kubadilisha hilo. Ukweli ni kwamba wanawake wana nguvu sana, ika wengi hawataki kubadilisha hilo wanapenda umalaya kwa sababu unawafaidisha.

Mkubali tu kuwa mnapenda umalaya kwa sababu unawafaidisha.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Huyo Hziyech22 hajitambui, ubinafsi tu. Wanaume Tuache kuwaonea mabinti
Na waache kutuomba uke hatufurahishwi wala nini!
Mtu umekaa zako huna hili wala lile mtu anakulazimisha umpe k wakati huna hata senti, kwanini nisitatue kwanza shida zangu hata ute usogee🫣
 
Yeye huyo anafikiri kila binti angekuwa na uwezo wa kujitegemea, angezipata K za bure? Na zinazozagaa zagaa?
Angezipata kwa shida mno, awaulize ndugu zake wa diaspora wamsimlie!
 
Back
Top Bottom