Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

sio sawa
ila ikitokea pesa lazima iombwe tu!
Kwa nini wewe unajiona ni mtu wa kuomba pesa na si mtu wa kuombwa pesa?

Huoni kuwa mpaka hapo tayari ushajitengenezea unyonge wa kuwa ombaomba kichwani mwako mwenyewe kabla hujaingia mtaani kupambana na dunia?

Umejiwekea kilema cha mawazo kabla hata ya kuanza mapambano duniani.

Umejidogosha mwenyewe na kujifanya dhaifuvkabla hata hujakabikiana na mtu yeyote katika jambo lolote.

Umejifanya huwezi hata kabla ya kujua huwezi nini.

Halafu, kwa fikra hizi, tukisema wanawake ni viumbe dhaifu, mtakataa?
 
Kuna wanawake wengi sana wanaomba bila mpangilio.

Mtu mnajuana leo tu, kesho anakutangazia shida zake zote, za mama yake, za familia nzima.

Hawa ni wengi sana usiwatetee.

Halafu, kama unamuona mtu anataka kuonja kila sehemu kwa nini usimkatae tu? Kwa nini umuombe pesa kwa sababu anaonja kika sehemu?

Wewe ni malaya mpaka utake kuwa na ntu anayetaka kuonja kila sehemu kwa kumdai pesa?

Kama mnakubali kuwa nyie ni malaya tukubaliane kabisa.
Kiranga, kwanza anza kwa kutuambia kwanini mwanaume awe na kundi la wanawake wanaoomba bila mpangilio. Sentensi ya kwanza umetumia neno “wengi” hivyo nami nakurudishia swali, mwanaume anafanya nini na kundi la wanawake wengi wanaoomba bila mpangilio?

Sentensi ya tatu, Walikuwa wanaongea nini mpaka huyo mwanamke aeleze shida za zake zote na familia nzima…

(wanawake ni wajinga sometimes ila sio wajinga kama tunavyotaka kufikiri)
 
Kwa nini wewe unajiona ni mtu wa kuomba pesa na si mtu wa kuombwa pesa?

Huoni kuwa mpaka hapo tayari ushajitengenezea unyonge wa kuwa ombaomba kichwani mwako mwenyewe kabla hujaingia mtaani kupambana na dunia?

Umejiwekea kilema cha mawazo kabla hata ya kuanza mapambano duniani.

Umejidogosha mwenyewe na kujifanya dhaifuvkabla hata hujakabikiana na mtu yeyote katika jambo lolote.

Umejifanya huwezi hata kabla ya kujua huwezi nini.

Halafu, kwa fikra hizi, tukisema wanawake ni viumbe dhaifu, mtakataa?
Kwanza kabisa hapa sijiongelei mimi coz sifanyi hii biashara!

Niombwe pesa na nani? kama ni mwanaume sifanyi huo ujinga!

mwanaume kumpa pesa inategemea na mahusiano yetu yakoje na tunapeana kwa kigezo kipi, ila sio sex ndio ifanye mimi nikupe pesa! after all men ae providers!
 
Kiranga, kwanza anza kwa kutuambia kwanini mwanaume awe na kundi la wanawake wanaoomba bila mpangilio. Sentensi ya kwanza umetumia neno “wengi” hivyo nami nakurudishia swali, mwanaume anafanya nini na kundi la wanawake wengi wanaoomba bila mpangilio?

Sentensi ya tatu, Walikuwa wanaongea nini mpaka huyo mwanamke aeleze shida za zake zote na familia nzima…

(wanawake ni wajinga sometimes ila sio wajinga kama tunavyotaka kufikiri)
Kwanza, kwa nini kika akitajwa mwanamke unaongelea wanaume?

Huoninkuwa hii ni whataboutism?

Huwezi kuongelea mwanamke bila kuongelea mwanamme?

Mwanamke ni kibuli cha mwanamme, hawezi kuongelewa bila mwanamme kutajwa?

Huoni kuwa kumchomeka mwanamme kila sehemu mwanamke anapotajwa ni kumdogosha mwanamke, kumfanya kuwa hawezi kusimama peke yake bila mwanamme?

Kwenye walikuwa wanaongea nini, haijalishi wanaongea nini. Mtu ndiyo mnajuana tu mpo katika introductions hapohapo unaambiwa matatizo yote ya mwanamke, ya familia yake, that is trauma dumping of the first order.
 
Kwanza kabisa hapa sijiongelei mimi coz sifanyi hii biashara!

Niombwe pesa na nani? kama ni mwanaume sifanyi huo ujinga!

mwanaume kumpa pesa inategemea na mahusiano yetu yakoje na tunapeana kwa kigezo kipi, ila sio sex ndio ifanye mimi nikupe pesa! after all men ae providers!
Hiyo habari ya "men are providers" ni kukubali kuwa wanawake ni viumbe dhaifu.

Yani hakuna namna ya kukubali gender roke ya "men are providers" bila kukubali kuwa wanawake ni viumbe dhaifu.

Unakubali hilo?

Pia, kukubali wanaume watoe pesa lakini wanawake wasitie nibkuwa selfish.

Kwa hiyo, kwa msimamo wako, wanawake wako selfish.

Unakubali hilo?
 
Na ndiyo maana mnadanga? Mnakubali nyie ni malaya siyo?
Hee kaka! sio sisi sasa, hii ni mada tu, naona unaanza kuwa serious! nisije nikasema ndio, tukakutana kwenye mada za mungu ukaniita we malaya wewe 😁
 
Kwanza, kwa nini kika akitajwa mwanamke unaongelea wanaume?

Huoninkuwa hii ni whataboutism?

Huwezi kuongelea mwanamke bila kuongelea mwanamme?

Mwanamke ni kibuli cha mwanamme, hawezi kuongelewa bila mwanamme kutajwa?

Huoni kuwa kumchomeka mwanamme kila sehemu mwanamke anapotajwa ni kumdogosha mwanamke, kumfanya kuwa hawezi kusimama peke yake bila mwanamme?

Kwenye walikuwa wanaongea nini, haijalishi wanaongea nini. Mtu ndiyo mnajuana tu mpo katika introductions hapohapo unaambiwa matatizo yote ya mwanamke, ya familia yake, that is trauma dumping of the first order.
Preach brother man, preaaach 📢
 
Kwanza si kweli kwamba wanaume wote ni wa sampuli hiyo.

Ume generalize sana.

Wanaune wengi sana hata hawana uwezo wa kuhonga wanawake. Wengi ni vijana hawajafanikiwa, wengi wanajitafuta bado, wengi wana akili za kujipanga kimaisha wanatafuta wenza wa kupanga maisha nao, lakini wanawake wengi hawawataki hawa kwa sababu wanawaona hawana pesa.

Wanataka mtu aliyekwishapata oesa tayafi. Na hapo ndipo umalaya unapoanza kwa pande zote mbiki za wanawake na wanaume.

Ukweli kwamba kuna wanaume wanalalamika kwamba kuna wanawake wengi ombaomba sana, kimsingi ni malaya wanaojiuza kutafuta pesa na mali, na wanaume hao hawapendi hilo, unaonesha kuwa kuna wanaume wengi hawapendi tabia hii.

Pili, hata kama ni kweli wanaume ni malaya wanahangaika, wanawake wana nguvu ya kubadilisha hilo. Ukweli ni kwamba wanawake wana nguvu sana, ika wengi hawataki kubadilisha hilo wanapenda umalaya kwa sababu unawafaidisha.

Mkubali tu kuwa mnapenda umalaya kwa sababu unawafaidisha.
Bahati mbaya sijui kuqoute kifungu kwa kifungu natumia JF via browser.

Kiranga bwana 😀 waambie wanaume hivi: wanapojitafuta, wanapotafuta mwenza wa maisha dating haitakiwi kuhusisha sex.

Wanaume zetu si waaminifu kiasi kwamba wanawake watasema wawakopeshe muda kuelekea kutambuliwa kama “mwenza wa maisha”/mke/life partner etc Tumeshuhudia maelfu ya wanawake wamewakopesha wanaume muda , na mwisho wa siku likija suala la kuchukua mke, mwanaume anaenda kutafuta kwingine anakokujua yeye kwasababu anazozijua yeye. Msemo maarufu wa “amenipotezea muda” ndio ulitokea hapa.

Kwa muktadha huo jamii imeenda ime-evolve ikatengeneza hiki kilichopo sasa hivi, sijui kikao kilikaliwa wapi wakakubaliana wawatoze wanaume pesa hata hizo hizo ndogo kama hawajajipata, au basi watafute waliojipata tayari kuepusha kasheshe za kutumika na kupotezewa muda.

Siijui sababu ya umalaya wa wanaume (wenyewe wanaita nature) lakini naijua sababu ya umalaya kwa wanawake. To me it’s valid.
 
Hiyo habari ya "men are providers" ni kukubali kuwa wanawake ni viumbe dhaifu.

Yani hakuna namna ya kukubali gender roke ya "men are providers" bila kukubali kuwa wanawake ni viumbe dhaifu.

Unakubali hilo?

Pia, kukubali wanaume watoe pesa lakini wanawake wasitie nibkuwa selfish.

Kwa hiyo, kwa msimamo wako, wanawake wako selfish.

Unakubali hilo?
Sio dhaifu, asilimia kubwa ya wanawake hawana pesa! na wengi wako chini ya wanaume ndiomaana wanapewa hii title ya kuwa providers, sasa wanawake tutoe pesa ya nini mkuu mbona hivyo? Hatuna pesa wala sio kuwa selfish!
 
Angejaribu bahati yake Jeiefu, huku ni boss ladies tu sophisticated types but also vice versa is true 90 to 10 ratio. 90% boss ladies.
 
Nyie, mnaokubali na kutetea kudanga.

Kwani wewe hutetei kudanga?

Yani pesa za umalaya mnataka halafu kuitwa malaya hamtaki? 😂
Tunapenda pesa za kupewa tu, ila sio kudanga kuna makundi special kwaajili hiyo na yanajiita kabisa majina yao, kwanini sisi wa kuchovya utujumuishe wakati hatufanyi full fime?
 
Bahati mbaya sijui kuqoute kifungu kwa kifungu natumia JF via browser.

Kiranga bwana 😀 waambie wanaume hivi: wanapojitafuta, wanapotafuta mwenza wa maisha dating haitakiwi kuhusisha sex.

Wanaume zetu si waaminifu kiasi kwamba wanawake watasema wawakopeshe muda kuelekea kutambuliwa kama “mwenza wa maisha”/mke/life partner etc Tumeshuhudia maelfu ya wanawake wamewakopesha wanaume muda , na mwisho wa siku likija suala la kuchukua mke, mwanaume anaenda kutafuta kwingine anakokujua yeye kwasababu anazozijua yeye. Msemo maarufu wa “amenipotezea muda” ndio ulitokea hapa.

Kwa muktadha huo jamii imeenda ime-evolve ikatengeneza hiki kilichopo sasa hivi, sijui kikao kilikaliwa wapi wakakubaliana wawatoze wanaume pesa hata hizo hizo ndogo kama hawajajipata, au basi watafute waliojipata tayari kuepusha kasheshe za kutumika na kupotezewa muda.

Siijui sababu ya umalaya wa wanaume (wenyewe wanaita nature) lakini naijua sababu ya umalaya kwa wanawake. To me it’s valid.
Kwa nini mada ya wanawake mnaona lazima kutaja wanaume?

Hatuwezi kuongelea wanawake tu bila ya kuingiza whataboutism ya wanaume?

Wanawake ni kivuli cha wanaume, hatuwezi kuwaongelea bila kutaja wanaume?

Wanawake ni dhaifu sana, lazima waishi kwa kupangiwa maisha na wanaume?

Wanawake wote wakikataa umalaya na habari za kutoa mbunye kwa pesa na mali, wanaume wataweza kufanya umalaya huo na wanawake hao?
 
Tunapenda pesa za kupewa tu, ila sio kudanga kuna makundi special kwaajili hiyo na yanajiita kabisa majina yao, kwanini sisi wa kuchovya utujumuishe wakati hatufanyi full fime?
Wote wale wale.

Ukinywa mkojo pure umekunywa mkojo.

Ukinywa mkojo nusu uliochanganywa na maji nusu, bado umekunywa mkojo.

Sasa, wewe mbaguzi tu, tena unabagua bila mantiki.

Umekunywa mkojo nusu, unajiona hujanywa mkojo kwa sababu hujanywa mkojo pure.

Unawacheka waliokunywa mkojo pure.

Wakati wote mmekunywa mkojo tu.
 
Kwanza, kwa nini kika akitajwa mwanamke unaongelea wanaume?

Huoninkuwa hii ni whataboutism?

Huwezi kuongelea mwanamke bila kuongelea mwanamme?

Mwanamke ni kibuli cha mwanamme, hawezi kuongelewa bila mwanamme kutajwa?

Huoni kuwa kumchomeka mwanamme kila sehemu mwanamke anapotajwa ni kumdogosha mwanamke, kumfanya kuwa hawezi kusimama peke yake bila mwanamme?

Kwenye walikuwa wanaongea nini, haijalishi wanaongea nini. Mtu ndiyo mnajuana tu mpo katika introductions hapohapo unaambiwa matatizo yote ya mwanamke, ya familia yake, that is trauma dumping of the first order.
Akitajwa mwanamke lazima nimzungumzie mwanaume kwasababu tunajadili “uhusiano “ two way lane…. Kimoja kinasababisha kingine.

Hii ni jamii ambayo inafanya interaction, tabia ya kundi A inaathiri tabia ya kundi B na kinyume chake.

Sijui kuhusu whataboutism (would like to learn about it)

Kuhusu trauma dumping ningekupa mfano wa trauma dumping wanayofanya wanaume, but again utaniambia nafanya whataboutism! 😀

Niambie ni kwa namna gani katika mada tajwa mezani, naweza wajadili wanawake tu bila kutaja wanaume? Kila aliyefanya mjadala ambao una balance huko juu amefanya same thing, umeelewa nini kwenye hili..?
 
Back
Top Bottom