Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Ndio maana yule m-russi alipowafikia alikua anawapiga tobo la nyuma tu ushawahi kupigwa tobo la nyuma nauliza ushawahi kucheza mpira ukibigwa tobo la nyuma si mnataka hela haya toa tobo la nyuma upate hela na wanatoa kweli wanatobolewa nyuma, wale wa-naijeria pale Palm Beach wanawafanya vibaya sana dada zako wapenda hela
watajua wao mimi hayanihusu hayo mambo na sijachangia kuhusu nyie wapigwa matobo ya nyuma, maana naona mpaka unaniulizia experenc, ingekuwa ni kuwahusu nyie nisingechangia mada!
 
kazi tunafanya lakini kuomba kuko palepale!
Kwani naye si ameomba, kwanini akasirike mwenzake kuomba hela. Unaomba usichokuwa nacho. Mzungu hana K, anaomba K. Binti hana hela, anaomba hela. Ni wajibu wa mwenye nacho kutoa au kukataa
 
Omba omba ya wanawake wa Tanzania kwani imeanza leo? Au mmefurahi na mzungu naye amebaini hilo! Kama mwanamke unamtongoza asubuhi, jioni tayari shida zimeanza mama amelazwa, gas imeisha, nywele zimechakaa, mafuta ya kupaka yameisha, ila wanawake hawajui tu, wanajishusha sana thamani zao
 
Kwani naye si ameomba, kwanini akasirike mwenzake kuomba hela. Unaomba usichokuwa nacho. Mzungu hana K, anaomba K. Binti hana hela, anaomba hela. Ni wajibu wa mwenye nacho kutoa au kukataa
Simple mathematics!

Ntakuombaje pesa bila wewe kutaka kitu kwangu?
 
Omba omba ya wanawake wa Tanzania kwani imeanza leo? Au mmefurahi na mzungu naye amebaini hilo! Kama mwanamke unamtongoza asubuhi, jioni tayari shida zimeanza mama amelazwa, gas imeisha, nywele zimechakaa, mafuta ya kupaka yameisha, ila wanawake hawajui tu, wanajishusha sana thamani zao
Umesahau mjomba kameza shoka🤣
 
Hili ndilo tatizo la sisi wanaume - ubinafsi. Unataka K na kila unayependa akupe K akupe bila yeye kufaidika. Ni muhimu kujua kuwa urafiki ni faida ya wote, siyo mmoja afaidi anachokitaka wakati mwenzake hafaidiki na huo urafiki. Katika urafiki, lazima kila mtu awe na expectations zake. Wewe Unataka K, yeye Pengine anategemea umtatulie matatizo yake yanayomkabili kama vile hela, ndoa, etc. Bila hivyo akupe kwa kukuonea huruma, ili iweje
Elewa neno alilosema mzungu "Wanaomba sana"
 
Ndio hapo naposhindwa kuwaelewa wakopaji! hawezi kutambua kuwa hakuna mahala mtaenda na hakuna mwenye ratiba na mwenzie, yeye ni kuchovya tu kila atapojisikia, na hataki kuingia gharama zozote! kama hataki kuombwa atulize kiranga hakuna mtu kamshikia bastola!
Katumia neno "Wanaomba sana"
 
NA AKIKUOMBA USIPOMPA AU UKIMLALA KWA MKOPO ANAKUTANGAZA UNA KIBAMIA
 
Back
Top Bottom