Seanolson Mzungu: Wanawake wa bongo ni omba omba

Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.

Ila hapo ukisikiliza yeye hajasema hivyo ila watangazaji ndio wanamlazimisha aseme hvyo na akaunasua mtego.
 
Mimi huwa sipendi mwanamke mbabaishaji na mwenye tamaa za kijinga nikishaona hivi huwa naachana nae mapema hata kugonga sikugongi
Shikilia hapohapo mkuu, wanawake walionyooka bado wapo wengi tu!
 
Exchange of value wala tofauti na sio biashara moja kwa moja! kwenye mahusiano kutoa pesa si malipo, ni sehemu ya mapenzi au makubaliano tu, sema kwa sumu mnazomezeshana hapa hata tuelezane ipi hutokaa ukanieelewa!
Ndio maana nimekuuliza wakati mwanaume anatoa fedha kwako wewe unatoa Nini in return kwenye mahusiano apart from sex ili kweli tuyaite mahusiano
 
Ukisema session moja ni 50k sioni shida, ni heri kuliko kutwishwa mizigo isiyonihusu.
Ukileta mazoea nakutwisha tu, mwendo wa kuviziana, gesi utanunua tu😎
 
Ndio maana nimekuuliza wakati mwanaume anatoa fedha kwako wewe unatoa Nini in return kwenye mahusiano apart from sex ili kweli tuyaite mahusiano
ushirikiano, utii, mawazo na kujenga maisha ka pamoja kwa namna nyingine!
hebu nikuulize swali, wewe unategemea ukitoa pesa mwanamke atoe nini?
 
Dah kwakweli janga ni kubwa hatari mpaka kuna muda hata sisi wanawake wenyewe tunaogopa! Kuna siku unaweza sema ukapumzishe sehemu kichwa mara anakuja mtu, unasema atleast leo nimepata mchuchu unashangaa anakwambia tunaweza kuondoka wote leo?
We mi majuzi tu nilipigwa na kitu kizito, Nimekutana na mtu yuko very excited, He’s was all nice, Akaomba namba mimi ni nani nimnyime wakati naona kabisa anafaa. Baadae kumuuliza whatsup mbona ulionekana na bashasha sana? kaniambia kumbe ametoka kumaliza masters huko wapi sijui , karudi amekabidhiwa ofisi mpya na majukumu mapya kwahiyo yuko excited anataka kusherehekea hiyo milestone… Mtongozo ulianzia mbali, mwisho wa siku kumbe mwili wangu ndio unatakiwa kuwa uwanja wa sherehe!!!!!

Niliquestion my life decisions sana siku hiyo 😂 like huyu kanionaje, nikamuuliza umenichagua kutoka kwa watu 21 tulikuwa mule (airport lounge) , did i give you any sign kuwa i wanted you? Yaani umenichagua ili ukafurahie furaha yako , nilichambaaaa! Nikamwambia umeniona mi malaya eenhe, akanijibu ndio 🤣 Nusu nilie.

Alooo kwa mara ya kwanza nilijuta kuwepo kwenye hiki kizazi.

Kwahiyo bwana wanaume “wengi” wana commitment kuwa sisi sote ni malaya na ukimkazia anaanza kuku-gaslit! yooo! i can’t!
 
Ukileta mazoea nakutwisha tu, mwendo wa kuviziana, gesi utanunua tu😎
Hapana, kila mtu abebe mzigo wake. Ila kwa vile nataka kuteleza, I'll pay you every time we meet
 
Watu “ kibao “ maana yake kama kwenye mahusiano kuna kitu natoa na kuna kitu unatoa x na x zinakatika gharama inabaki bure kwamba sote tumegharamika.
Yapo masuala kama kama leadership, protection, provision ambayo mwanaume anawajibika nayo. Yapo masuala kama loyalty, complimenting, peace of mind ambayo mwanamke anawajibika. Hayo masuala sio transactional. Kilichoguswa kwenye mada ni trend ya commercialization of relationship inayofanywa na wanawake
 
We mi majuzi tu nilipigwa na kitu kizito, Nimekutana na mtu yuko very excited, He’s was all nice, Akaomba namba mimi ni nani nimnyime wakati naona kabisa anafaa. Baadae kumuuliza whatsup mbona ulionekana na bashasha sana? kaniambia kumbe ametoka kumaliza masters huko wapi sijui , karudi amekabidhiwa ofisi mpya na majukumu mapya kwahiyo yuko excited anataka kusherehekea hiyo milestone… Mtongozo ulianzia mbali, mwisho wa siku kumbe mwili wangu ndio unatakiwa kuwa uwanja wa sherehe!!!!!

Niliquestion my life decisions sana siku hiyo 😂 like huyu kanionaje, nikamuuliza umenichagua kutoka kwa watu 21 tulikuwa mule (airport lounge) , did i give you any sign kuwa i wanted you? Yaani umenichagua ili ukafurahie furaha yako , nilichambaaaa! Nikamwambia umeniona mi malaya eenhe, akanijibu ndio 🤣 Nusu nilie.

Alooo kwa mara ya kwanza nilijuta kuwepo kwenye hiki kizazi.

Kwahiyo bwana wanaume “wengi” wana commitment kuwa sisi sote ni malaya na ukimkazia anaanza kuku-gaslit! yooo! i can’t!
Kakuonaje? Kaona mwili wako unafaa kwa matumizi ya kusherehekea😅😅😅
Give it to him mfurahie pamoja, questioning your decisions? UmezIngua sio poa😅😅
 
We mi majuzi tu nilipigwa na kitu kizito, Nimekutana na mtu yuko very excited, He’s was all nice, Akaomba namba mimi ni nani nimnyime wakati naona kabisa anafaa. Baadae kumuuliza whatsup mbona ulionekana na bashasha sana? kaniambia kumbe ametoka kumaliza masters huko wapi sijui , karudi amekabidhiwa ofisi mpya na majukumu mapya kwahiyo yuko excited anataka kusherehekea hiyo milestone… Mtongozo ulianzia mbali, mwisho wa siku kumbe mwili wangu ndio unatakiwa kuwa uwanja wa sherehe!!!!!

Niliquestion my life decisions sana siku hiyo 😂 like huyu kanionaje, nikamuuliza umenichagua kutoka kwa watu 21 tulikuwa mule (airport lounge) , did i give you any sign kuwa i wanted you? Yaani umenichagua ili ukafurahie furaha yako , nilichambaaaa! Nikamwambia umeniona mi malaya eenhe, akanijibu ndio 🤣 Nusu nilie.

Alooo kwa mara ya kwanza nilijuta kuwepo kwenye hiki kizazi.

Kwahiyo bwana wanaume “wengi” wana commitment kuwa sisi sote ni malaya na ukimkazia anaanza kuku-gaslit! yooo! i can’t!
Dada'ake, mimi sikuhizi hata kutoka naona kibarua kama sina sababu ya msingi najifungia ndani na laptop yangu nafanya yanayonihusu! nikitaka kinywaji nanywea ndani.. maana huko nje si mchezo! kuna siku tumetoka marafiki watatu, mmoja wa kiume kaja na rafkiake ambaye alikuwa safarini, sijui aliona nimezubaa ikabidi atafute huko malaya amlete hapo, maana kila akinicheki nakwepa na sitaki mazoea, kumbe anataka alale na mtu kesho aamkie zake chuga, sasa what thaa fvck is that? wanaume wanatudharau sana, kuepusha hiyo trauma huwa sitaki kabisa kukutana na hizi species bora kichache tu!
 
We mi majuzi tu nilipigwa na kitu kizito, Nimekutana na mtu yuko very excited, He’s was all nice, Akaomba namba mimi ni nani nimnyime wakati naona kabisa anafaa. Baadae kumuuliza whatsup mbona ulionekana na bashasha sana? kaniambia kumbe ametoka kumaliza masters huko wapi sijui , karudi amekabidhiwa ofisi mpya na majukumu mapya kwahiyo yuko excited anataka kusherehekea hiyo milestone… Mtongozo ulianzia mbali, mwisho wa siku kumbe mwili wangu ndio unatakiwa kuwa uwanja wa sherehe!!!!!

Niliquestion my life decisions sana siku hiyo 😂 like huyu kanionaje, nikamuuliza umenichagua kutoka kwa watu 21 tulikuwa mule (airport lounge) , did i give you any sign kuwa i wanted you? Yaani umenichagua ili ukafurahie furaha yako , nilichambaaaa! Nikamwambia umeniona mi malaya eenhe, akanijibu ndio 🤣 Nusu nilie.

Alooo kwa mara ya kwanza nilijuta kuwepo kwenye hiki kizazi.

Kwahiyo bwana wanaume “wengi” wana commitment kuwa sisi sote ni malaya na ukimkazia anaanza kuku-gaslit! yooo! i can’t!
Dah! Nimecheka sana
 
Hapana, kila mtu abebe mzigo wake. Ila kwa vile nataka kuteleza, I'll pay you every time we meet
Siku hizi naona ndio katrend, kijana anajipangia bei akifika anakata kabisa hii 200k nampa huyu mbwa, ingine room,hii vinywaji.. ila tulipofikia duh🙌
 
Back
Top Bottom