Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,307
- 40,107
Mimi ni mpish mkuuNitafute pembeni, hakika nitaangalia how we can work together
Naweza kuandaa vyakula wakat wa hii vita kali
Niangalien na mm ...
Pia kuwasha on na off mi ni fund sana
Mimi ni mpish mkuuNitafute pembeni, hakika nitaangalia how we can work together
Haaaaaahaaaaaa.Asante kwa taarifa. Ngoja niombe namba ya mrembo mmoja hivi kabla jf haijapigwa kombora
aiseeee
Barikiwa saaaaanaAny attack inakuwa analysed mkuu wangu.
Previous attacks zote zilikuwa recorded na tunajua walifanya nini.
This time around tumealika nguli kadhaa ambao ni advanced kwenye mashambulizi ya kila namna na tunafanya hivi kwa lengo la kujihakiki wenyewe.
Asante
We have survived the first tests. Zoezi litarudiwa baada ya mwezi mmojaNaona kimya,au ndo JF imeshinda mashambulizi?
All in all,Tunaiombea JF iendelee kuwepo,Kwa inasaidia kuondoa upweke na msongo wa mawazo hasa kipindi hiki jamaa anavyobana kila kona.
Kwenye app? Browser?kaka nakukumbusha pia utuondolee mfumo wa kuonyesha ID zetu hapa kwa chini! tukiwa tunaperuz inakuwa shida mbele za kadamnasi itatufanya tukamatwe
Safi, mko vizuri, idumu JF.Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.
Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo ili kuiangusha na kuiondoa hewani.
Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza likabili au linaweza sababisha athari gani.
NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) mteja ajue ni kitu kimepangwa.
UPDATE:
Yamefanyika majaribio kadhaa ya awali na JF imefanikiwa kuyashinda. Zoezi litarudiwa baada ya siku 30.
Tunawashukuru kwa uelewa na ushirikiano
Ndo mimiAku..teja wangu ninae
Hongera Melo. Ila ili kunogesha na kupata uhakika na majaribio yenu safari ijayo yaani baada ya huo mwezi mmoja waambie maadui wa JF ndiyo washushe mvua ya mashambulizi badala ya kuyafanya wenyewe.We have survived the first tests. Zoezi litarudiwa baada ya mwezi mmoja
Japo wengi wa members tuliopo JF hakuna kibaya tunachokifanya ila nafikiri hiyo hoja ya mchangiaji ina mantiki. Maana akina Musiba wa Misiba wapo wengi mtaani.Kwenye app? Browser?
Kuna kitu gani kibaya mnafanya JF kinachoweza pelekea ukamatwe?