😂😂😂ww unafaa kuishi ushwahilin aisee... si angemtaja mwenyew iweje utaje ww.. umejuaje ni yy😁Namba ya cute b!
😂😂mie ndo naona dk hizi naushamba wangu sielew kituMi hata siwaelewi
NYONGEZA: Tovuti inaweza kuwa inafunguka kwa ugumu kiasi kwakuwa mashambulizi yanafanywa kwa kutokea nchi tatu tofauti kwa kutumia mbinu tofauti.
Tunaomba uvumilivu kwa ambao wataona JF inachelewa kufunguka
Pole. Wewe kama huduma huoni ikiwa slow, endelea kuitumia. Kuna ambao wanaweza pata ugumu ndo ambao tunawafahamisha watambue ni scheduled thingMi hata siwaelewi
Eti wanaalika majambazi wawavamie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]mie ndo naona dk hizi naushamba wangu sielew kitu
Ya jinsi tunavyoshambuliwa? 🙂Wekeni Livestream.....
Hapana, si majambazi. Labda kama inatafsirika hivyo. Ila ni watu nguli wa mashambulizi ya kimtandao ambao wanakusaidia kujua wapi kuna nyufa zinazoweza tumiwa na watu wabaya kukuangusha.Eti wanaalika majambazi wawavamie
HayaPole. Wewe kama huduma huoni ikiwa slow, endelea kuitumia. Kuna ambao wanaweza pata ugumu ndo ambao tunawafahamisha watambue ni scheduled thing
nahis na hubby mnaye huko😊😊!hv hayo mashambulizi mnashindwa kuyaelekeza kwenye data za ofisi kuu ya ccm jaman?mnashindwa nn kuunga juhudi zetu sie wa nje huku tuwapopoe hawa mapopoma?Hapana, wamealikwa wataalam toka mataifa kadhaa wenye utaalam anuai na wanafanya hivyo tukiwa tunaangalia (monitor) kinachoendelea na kudhibiti kila panaponekana kuwa panaweza kuwa na ufa.
Asante
Nilielewa mkuu. Nimefananisha hao hackers na majambazi.Hapana, si majambazi. Labda kama inatafsirika hivyo. Ila ni watu nguli wa mashambulizi ya kimtandao ambao wanakusaidia kujua wapi kuna nyufa zinazoweza tumiwa na watu wabaya kukuangusha.
Asante
😂😂😂Ya jinsi tunavyoshambuliwa? 🙂
Pole. Wewe kama huduma huoni ikiwa slow, endelea kuitumia. Kuna ambao wanaweza pata ugumu ndo ambao tunawafahamisha watambue ni scheduled thing
Nilielewa mkuu. Nimefananisha hao hackers na majambazi.
😂😂😂Au mwambie mnafanya P M
Au mwambie kigerejigereji kuwa hiyo ni PM na kama ni ki Hospital basi tuiite ni booster vaccination na kiofisiofisini basi ni sawa na kwenda likizo kijijini "KU RENEW"
Tangu wametoa hili tangazo mara ya Kwanza. Ila sijaona tofauti kwa upande wanguumelewa leo?[emoji16]
Kitambo. Na yanaendeleaMashambulizi yenyewe si yameshaanza tayari ama
Kila la kheri mkuu.NYONGEZA: Tovuti inaweza kuwa inafunguka kwa ugumu kiasi kwakuwa mashambulizi yanafanywa kwa kutokea nchi tatu tofauti kwa kutumia mbinu tofauti.
Tunaomba uvumilivu kwa ambao wataona JF inachelewa kufunguka