kwenye browser kaka!Kwenye app? Browser?
Kuna kitu gani kibaya mnafanya JF kinachoweza pelekea ukamatwe?
UPDATE:
Yamefanyika majaribio kadhaa ya awali na JF imefanikiwa kuyashinda. Zoezi litarudiwa baada ya siku 30.
Tunawashukuru kwa uelewa na ushirikiano
Namba ya cute b!Asante kwa taarifa. Ngoja niombe namba ya mrembo mmoja hivi kabla jf haijapigwa kombora
Any attack inakuwa analysed mkuu wangu.
Previous attacks zote zilikuwa recorded na tunajua walifanya nini.
This time around tumealika nguli kadhaa ambao ni advanced kwenye mashambulizi ya kila namna na tunafanya hivi kwa lengo la kujihakiki wenyewe.
Asante
In jambo la kujivunia,ata kitendo cha kuwaza tu juu ya kushambuliwa in hatua kubwa,Mungu awafanikishe.We have survived the first tests. Zoezi litarudiwa baada ya mwezi mmoja
Melo sina nia ya kukukatisha tamaa najua unajua unachofanya ila zoezi hili kama halitasaidia sana siku za mbele.
Maadui wa JF (mfano wale walioiblock April 2018) wana vitendea kazi na knowledge ya kutosha, siku yoyote watakayoona kuna ulazima wa kuiblock JF kwa mashambulizi wanaweza kufanya hivyo.
Njia pekee na ya UHAKIKA kujilinda nao ni kwa nyie kuwatumia hao hao wanaowapa maadui zenu hivyo vitendea kazi na knowledge ili wawape counter-measures ili siku ya siku muwashangaze! Ukihitaji niambie nitakwambia wapi pa kuwapata.
Bila hivyo naona mtaweza tu kuresist mashambulizi ya wadukuzi binafsi ambao sidhani kama wana muda sana na JF (labda kuitumia kwa mazoezi) lakini siyo ya watu wasiojulikana.
Tupo pamoja lakini.
Heee jamani sasa kama ndo muda ambao wameona utatosha au ni mzuri kwa jaribio wafanyaje. Mmepewa taarifa mmemind je msingepewa?Shida ya kujitakia. Si wafanye usiku?
Heee jamani sasa kama ndo muda ambao wameona utatosha au ni mzuri kwa jaribio wafanyaje. Mmepewa taarifa mmemind je msingepewa?
Hahhaha hahahaha hatari sanaSi unajua binadamu lazima tulalamike? Ha haaa haturidhiki
Mkuu,unapiga mulemuleeHii inahusiana na kilichoandikwa hapo juu mkuu? Hata wewe kuna watu watakulalamikia kwa kuingiza hoja ndani ya hoja (off-topic) na ukisoma sheria za JF zinazuia
Wakuu,UPDATE:
Yamefanyika majaribio kadhaa ya awali na JF imefanikiwa kuyashinda. Zoezi litarudiwa Disemba 8, 2018.
Tunawashukuru kwa uelewa na ushirikiano
Chapeni kazi wakuu ! tupo Pamoja bossWakuu,
Leo ndio ile Disemba 8, 2018 na tangu asubuhi kuna mashambulizi kadhaa kuilenga miundombinu ya JF katika kutathmini uimara wake dhidi ya mashambulizi yoyote yenye kuelekeana na haya.
Hatukuwaarifu mapema lakini tunaomba ikitokea kasoro yoyote ikitokea msishtuke mtambue tunaangalia na tutarekebisha kasoro yoyote itakayobainika.
Hadi sasa tupo vizuri!
Asanteni
Wakuu,
Leo ndio ile Disemba 8, 2018 na tangu asubuhi kuna mashambulizi kadhaa kuilenga miundombinu ya JF katika kutathmini uimara wake dhidi ya mashambulizi yoyote yenye kuelekeana na haya.
Hatukuwaarifu mapema lakini tunaomba ikitokea kasoro yoyote ikitokea msishtuke mtambue tunaangalia na tutarekebisha kasoro yoyote itakayobainika.
Hadi sasa tupo vizuri!
Asanteni
Hapana, wamealikwa wataalam toka mataifa kadhaa wenye utaalam anuai na wanafanya hivyo tukiwa tunaangalia (monitor) kinachoendelea na kudhibiti kila panaponekana kuwa panaweza kuwa na ufa.hayo Majaribio ya mashambulizi mnajifanyia wenyewe?