‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

Status
Not open for further replies.
Mkuu Max, hawa hawatuwezi ni wajinga.

Tutapambana nao vilivyo kulinda heshima ya JF.

Yaani kamati ya ufundi imekesha usiku kucha, kila wakija wanakutana na msemo kwenye ujumbe usemao, "back off"

Usicheze na JF.
Doh
 
Jaribuni kuweka wataalamu wa maswala ya mtandao ili kusaidia usalama zaidi sio tu kuweka mamoderator kibao hii itasaidia ugunduzi wa tatizo kwa haraka hasa kwa website kubwa kama hii...

Hata jamaa zangu wakianza penetration wakuje japo kuna security flani hivi..

Mara ya Pili ikifanyikiwa thread zote za za jukwaa la siasa zitafutwa na jukwaa zingine zitafutwaa hiyo itachukua masaa 4 mpaka 6 itafanyika usiku..

Muna kitu kimoja cha muhimu kwa sasa kikifanikiwa sio ajabu
Moderator wote wakafutwa
..

L. Hata hivyo ni ngumu wewe kuprorect website hii kwa sababu technology inakia kila siku
...
Hawata penetrate kama jinsi ulivyosema kuna mda muafaka.
.
Jaribu kuangalia namna ingawa hata ww unajua masuala kadha ya mtandao jaribu kuongeza security kwa kununua strong darabase.


..... (Ninawaza tu kwa mtazamo wangu sijui kama ni kweli) 😁😁😁😁

HF... Idumu

Sahaman kwa uandishi mubovu ila kidogo nimeonesha mwanga..

Siku ukikuta logo ya jf kuna picha ya mutu 😂😂
Watoa comment wengine
Wana kemeaaa kabisa
Kwa Mungu sijui ni pepo au technology..
 
Kuna jamaa yangu ni haka ninamwamimi kwa kiwango changu. Mimpe taarifa muda ukifika naye latest zali?.
Au hairuhusiewi,?
 
Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani.

Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo (takribani saa 5) ili kuiangusha na kuiondoa hewani.

Lengo la mashambulizi haya ni kujitathmini kama ikitokea shambulizi (kwa levels zote) tutaweza likabili au linaweza sababisha athari gani.

NB: Si lazima kutoweka hewani; taarifa hii inalenga kutoa tahadhari ili ikitokea (kwa bahati mbaya) mteja ajue ni kitu kimepangwa.
Bila shaka kila kitu kitakua salamq. [emoji111]
 
Mkuu,

Nina hakika huenda usishtukie kuwa hata attacks zimeisha. Ila nilichoweka ni tahadhari ili mkiona iko slow msishtuke.

Tunajiamini kuwa tupo sawa, ila tumealika attackers ili tujiridhishe na uimara wetu. Kasoro zitakazobainika zitafanyiwa kazi haraka
Ooh nialiken na mm mkuu

Nmeizima quora juzi
 
Vipi mnaturuhusu hata watu ambao hatuko kwenye uo mpango kufanya mashambulizi?????????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom