‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

‪Scheduled JF Maintenance: Novemba 10, 2018‬ & Dec 08, 2018

Status
Not open for further replies.
Niko poa

Kukumiss tu
Mmh! Mimi je?

Wewe acha tu, sema tutakutana maeneo mengine tupige stori nyingi zaidi tukianza hapa hatukawii kuharibu Uzi wa mkuu....
 
Ujue kujiibia mwenyewe ni rahisi saaana na hata kujionea huruma pia ni rahisi.....

Akili iliyotumika kuijenga jamii forum haiwez kutumika teena iyo iyo kuibomoa....

Ushauri.

Unaonaje kama ungetangaza offer kuwa yeyote akayeweza ingilia mtandao wa jamii forum ndan ya siku 7. Atapata zawadi kadhaa... Then atasaidia kuiweka saaana na kuziba zile loopholes....
 
Mkuu melo tunakuamini na kikosi chako tafadhali mtulindie kijiwe chetu hiki
 
Hivi kule kenya talk bado ipo ile sub jamiiforum
 
Shambulia mke wako ndugu

Ya huku yaache haya baba

Nakuonea huruma
Na we ni kampuni moja na mello au dundo tu.....

Maaanaa kuna kitu nataka nkuambie ila naona mawili aidha umelewa au una tatizo kidogo kwenye medula...

Au ni miongon mwa usioelewa lengo la hii kitu nin?
 
Ikikaa kitaalam ndo itaeleweka kwa mwananchi wa kawaida?

Labda wengi wanajiuliza na kutoa pendekezo kuwa why isifanyike usiku ?

Huenda wakawa wanataka kujua... tu....

For me, naelewa ni vizuri kufanya testing kipindi kukiwa na active member wengi sana... tena ingependeza mngefanya jumatatu.... ili kuona uwezo wenu harisi wa ku kabiriana na mashambuli katika nyakati amabazo pia sysytem yenu ikiwa ina hudumia idadi kubwa ya watu... nahisi mngepata majibu mazuri sana... hata hivi mlivyo amaua sio mbaya... maana ni safari na haijaisha...
 
Any attack inakuwa analysed mkuu wangu.

Previous attacks zote zilikuwa recorded na tunajua walifanya nini.

This time around tumealika nguli kadhaa ambao ni advanced kwenye mashambulizi ya kila namna na tunafanya hivi kwa lengo la kujihakiki wenyewe.

Asante

Brother na mie mngenipa hata kuandaa mazingira ya kazi, au hata kuandika report... vyuma vimekazaa.... maana najua kuchambua taarifa vizuri.... nimepiga sana na eLearnSecurity .... kwenye testing za network na web.... ilaaa 🙄🙄🙄
 
Na we ni kampuni moja na mello au dundo tu.....

Maaanaa kuna kitu nataka nkuambie ila naona mawili aidha umelewa au una tatizo kidogo kwenye medula...

Au ni miongon mwa usioelewa lengo la hii kitu nin?
Nlkua natania

Naona upo serious okay mkuu

Sory kwa kukwaza
 
Brother na mie mngenipa hata kuandaa mazingira ya kazi, au hata kuandika report... vyuma vimekazaa.... maana najua kuchambua taarifa vizuri.... nimepiga sana na eLearnSecurity .... kwenye testing za network na web.... ilaaa 🙄🙄🙄
Nitafute pembeni, hakika nitaangalia how we can work together
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom