Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Charity mkuu nimekutafuta sana ile ID yangu maarufu imezinguaKwenye u-turn blog nakumbuka alimtukana mama wa watu enzi ndo instagram inapamba moto hadi akajiua,funny enough akawa anaendelea kumchamba marehemu!huyu ni wakuepukwa kama ukoma yaani nashangaa sana wanaojitoaga ufaham kupambana naye.
Sema fanya unitupie ata sure za leo nitafute pesa siunajua tena