Sasa wanamjua vema

Sasa wanamjua vema

Hiyo ni hulka kutokana na makuzi... Ngumu kubadilika... Samaki mkunje angali mbichii
Wadhungu wa milimani thame kwa midomo hamjambo!
We angalia wewe Mshana,yule Mdee wa Kawe,yule mama Malecela,etc!ukigusa umenasa.
Hivyo simshangai Mange.
Sikumbuki mpare aliyewahi kushindwa vita ya maneno!
 
CCM walipokuwa wakifuga nyoka wakidhani pet
mange.jpg
 
Wadhungu wa milimani thame kwa midomo hamjambo!
We angalia wewe Mshana,yule Mdee wa Kawe,yule mama Malecela,etc!ukigusa umenasa.
Hivyo simshangai Mange.
Sikumbuki mpare aliyewahi kushindwa vita ya maneno!
Kwahiyo ndio unataka kuthemaje[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Hahaaaa ww mwenyewe unamfatilia ulijuaje baada ya talaka hayupo sawa km na ww siyo sheikh tito .......usipanik broooo

hata chizi yafaa kuwa naye makini.kumfuatilia maana muda wowote anazua balaa.

akatuma uchi wa mwanamke mwenzie insta[emoji2][emoji2][emoji2]na watu na akili zao wanampa kichwa kwamba ni noma sana.anyway hii ndio 2018 ninavyowajua masheikh sio watu wazuri.

kasema wanamuuliza allah,sasa huyo Allah itategemea,atatoa majibu gani.
 
that's my sweet Mange. Dada wa Taifa, national treasure, masters Holder, the notorious ass's kicker, potential Times person of the year and notably the potential Nobel Peace award contender.

Nilishakusamehe Da Mange kwa matusi kwa kipenzi Cha wote rais lowasa. Please muombe msamaha kwenye ukurasa wako wa Instagram.

ISIS
Noma
 
Makonda ni tofauti na shehe.Shehe anatuongoza ktk ibada za kumuelekea mungu.
Naona kwa mbali mwisho wa shehe BAKWATA ndo umefika.
Shekhe hawezi kung'oka kwa kelele za instagram
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom