Sasa wanamjua vema

Sasa wanamjua vema

ukitaka ufahamike na maovu yako yote gombana na Mange Kimambi, hasa wote waliopo kwenye ngazi ya uongozi nilbaini kuwa 99.9% ya viongozi tulio nao tulio waona ni wazuri na wasafi kumbe sio wamchokoze manga kama wao ni jasiri na wana jiamini ndio tutawafahamu vizuri.
MangeKimambi ndio fagio la chuma, please hide my ID
 
Makonda ni tofauti na shehe.Shehe anatuongoza ktk ibada za kumuelekea mungu.
Naona kwa mbali mwisho wa shehe BAKWATA ndo umefika.

Utangojea sana. Hatoki Bakwata wala msikitini kwa sababu pale hakuna wa kwanza kumwinulia jiwe. Wakimtoa na majengo ya HQ wajue wameyakosa
 
Hajawahi kuwa sawa. Ana huu uchizi siku nyingi tu sema wengi mlikua hamumjui. Wale wa uturn tunamjua vizuri. Sasa bado enzi hana blog anashindana na wababa wa mjini. Sema u turn alikua hatukani viongozi alikua anadeal na wauza madawa na wanawake zao.
Nimemiss zile show off zake za u turn.
 
Yanii sijui Dataa huwa anatoaga wapii huyu dada kuhusu maisha ya watu?????? Nahisi watuu wakaribu sana wa wahusika ndo huwa wanampa hizo dataaa maana Daah anatoa dataa nzito sana.. Huyo jamaa wa bakwata Kaachwa uchii kabisaaa...
 
niliwahi kufika mtwara na Ku share maongezi na watu wakule especially kina mama ..aiseeee wana balaa zito wanatukana matusi ile mbayaaaa..yaani ustaarabu na hekima kwao 0 ..hawajui cjui huyu mkubwa au huyu ni mtoto ..yaani watu wamtwara matusi kwao nisehemu ya maisha sometymz mtu anaweza akatukana mbele hata ya mama na baba yke tena atatoa mtusi huo kama hujazoea waweza jikuta unaaga ...
sasa kama mange anahuo mchanganyiko wa damu na hao watu wa huko ..aiseeeee wanaomchokoza acha waipate dawa yao..
 
Of course aliuliza siku ile nanukuu "huyu MANGE ndo nani" nadhani jibu mpaka sasa analo....Ningependa kumuona akirudi kuitisha press na kuwaambia watz navyomfahamu kwa sasa...
MPAKA NIMEON RAHA KWA KWELI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom