kama kuna mtu mzima na akili zake anamtilia maanani mange kimambi ana walakini kichwani kwake.
mimi nafikiri baada ya taraka huyu dada hayuko sawa mpaka sasa.
Unavyoandika tu inaonesha ww pia una akili ya hivyo sema yy kakuzidi kiwango,
[HASHTAG]#nafikiri[/HASHTAG] baada ya TALAKA huyu Dada hayuko sawa,
Hii imekaa kidakudaku na kimipasho km anavyofanya unaemsema ila tu ya kwako ipo kiwango cha chini,
Nikukumbushe kitu km ww mfuatiliaji wa siasa,hebu piga picha mle ni wangapi wana kariba ya Mange kwa maana ya yake wanayoyasema,wapo wengi na huwa tunawapigia makofi,tena wengine ni zaidi ya huyo dada,
Mf.kibajaji,mling nknk,
La faida hapo ni,kuna baadhi ya watu waovu wamejipenyeza ktk nyadhifa kubwa za dini Na mamlaka wanaotumia vibaya nafasi hizo kwa mwanya wa kwamba hakuna wa kuwagusa,maana kila mtu anajifanya kuwaheshimu,
Wanafanya dhuruma na ubadhirifu na kila uonevu makusudi,
Watu wa namna hii mtu km huyu Dada ndo anafaa kuwaambia analowaambia maana mm na ww hatuwezi,Na watu wa namna hii hawapaswi kuambiwa kistaarabu maana wanakiburi cha madaraka,dawa ni kuwaumbua ili wengine waache,
Mungu huruhusu watu waovu kiovu ovu wawaumbue wanafki,
Tunachopaswa kutamani ni siku moja watukanaji WOTE waache na watumie midomo yao kumtumikia Mungu na jamii